Hivi megereza huwa hawapi hata uniform?
Kuna wafungwa Hawa huwa na uniform Tena moja tu Yani haijarishi atakaa mdagani hapo jera huwa nayo moja tu
Kwahiyo akienda shambani ikilowa atatembea nayo.hivyo hivyo labda ataifua ataikamua au kuianika na ataivaa hivyo hivyo
Lakini pia kwasababu ya kuwanayo moja Basi humlazimu kila jioni kuuwa chawa kwa vidore wano ishi humo kwenye hiyo uniform
Sasa Kuna wale mahabusu wale wanaokuwa labda walikatiza eneo walilo uwa mtu pasipo kujua
waka kutana na police waka sombwa
Kuna wale walio kuwa wamelala ndani mwao upenuni mwao wakauwa mtu pasipo wao kujua
Ile Wana amka hasubuhi wakakutana na Polisi Waka bebwa na pelelezi zinaendelea
na wamekaa hapo jera kwa mda mlefu
inaweza kuanzia miezi mpaka miaka mitano Hawa ndiyo ambao nguo huwaishia mkuu
Kumbuka jera hupewi uniform Kama haujakutwa nahatia na kuhukumiwa
Mfungwa ndiye hupewa uniform sio mahabusu