Yajue Maisha yalivyo jela

Yajue Maisha yalivyo jela

Yajue Maisha yalivyo jera no. 3

Hatimaye baada ya kupewa miongozo yote ya jera na viongozi wa jera x

ndipo ukafika mda wa kulala kwani tulikuwa tumeingia pale mida ya saa moja kasoro

Na Kama ilivyo sheria ya maisha kwamba huwezi pata tatizo pasiwepo asiye kujua au anaye mfahamu hata rafiki yako Lazima ataonekana hata mmoja

Sasa
baada ya sisi kupewa taratibu zote ndipo nikaanza kuitwa na jamaa ambao nilikutana nao Katika harakati za huko mtaani/uriani

Baadhi tulikuwa tumepoteana kwa mda mlefu lakini kumbe walikuwa pale jera nami sikujua

Basi ukafika mda wa ibaada wakaanza Islam's waka Soma dua wakiongozwa na shehe bonge

Yule bwana aliye kuwa ana fanyia kazi tanapa

wakaja wakauwa raia huko mbugani tulikuwa Naye pale na aliongoza Sara vizuri Sana

Waka maliza wakaingia christians wa kaongozwa na mmoja wa wana chadema

waliowai kutupwa ndani kipindi Cha jpm na wali chelewa chelewa Sana kutoka

Yule bwana ana damu sawa na ya akina mwabukusi Basi Yule bwana Ali hubiri injiri nzito injiri ya uamsho naweza kusema"

mpaka nikajiuliza imewezekanaje mtu wamungu kma huyu kuwa kwenye gereza Kama hili?

Watu wakaokoka pale gerezani"

watu wakalia machozi juu ya dhambi zao huku wakitubia Maovu yao"

Nami Nika guswa na lile neno nikataka kuokoka lakini nafsi ikaniambia hupaswi kumludia mungu kipindi hiki Cha dhiki Bali kipindi utakacho iepuka hii dhiki.
Basi Nika kausha

Baada ya ibaada ukafika mda wa mazungumzo kidogo nahuo ndio mda ambao tuka utumia kusikilizana visa na vyanzo vya kuingia pale ndani

Katika mazungumzo hayo nilikutana na visa vya kushangaza Sana

miongoni mwa watu nilio kutana nao pale ndani

na visa vyenyewe vilikuwa Kama ifwatavyo....

1)Mtu wa Kwanza/kisa Cha Kwanza

Huyu yeye alikuwa ana fanya kazi ya kuuza mahindi ya kuchoma umli wake kipindi kile alikuwa 25 yrs

Sasa anasema hasubuhi na mapema akawai kwenda kutafuta mahindi kwa ajiri ya kuchoma jioni kule sokoni kwao

Sasa akiwa njiani kuelekea huko kwenye mabustani ya mahindi njiani aka bahataika kuiona risasi ikiwa chini

Baada ya kuiona aka amua kuiokota na kuhakiki kwamba ni kweli ni risasi?

Baada ya kuji hakikishia kwamba ni risasi

Ndipo akaamua kwenda kutoa taarifa police kwamba ameokota risasi

Police waka mpokea Kisha baada ya maswali na majibu kadhaa

Polisi Waka mwambia awaletee na bunduki yenye risasi ndipo atatoka

Mpaka nafika Mimi pale alikuwa amekaa miaka miwili na nusu

na tayali alikuwa chakula Cha Nyapala

kwani nilimshuhudia mwenyewe akimpikia nyampara mkuu chakula Kama mke
Katika gereza lile x

na hajui mwisho wake uta kuaje. mkewe kamtembelea mpaka kachoka kaacha kwenda

jamaa sjui kaolewa au vipi?
alinipa story huku akitoa machozi nikampa pole na kumtia moyo

2)MTU wa pili/ kisa Cha pili
Hyu yeye alikuwa mpambanaji Sana lakini alipo ona Mambo haya endi akaenda kwa mganga

huko kwa mganga akapewa dawa na sharti lake alale na bibi kizee Cha miaka mingi"

akachukua Ile dawa Kama alivyo shauriwa na mganga

Akamtafuta Bibi kizee mjane pale jilani akampanga Bibi akajaa kwa kupewa vishilingi jamaa akaingia mzigoni

Baada ya kumaliza akatoka chapu kwa Yule Bibi na kuludia kwake

Hasubuhi Kuna kucha mtoto wa Yule Bibi akajaa kumwona bibi/kumsalimia anakuta Bibi kafa Tena akiwa uchi

Baada ya kuita majirani wakagundua Bibi kapitiwa huenda alibakwa mpaka kufa

Walipoendelea kuchunguza Waka gundua kulikuwa na tairi za baiskeli pale nyumbani kwa Bibi"

walipo zifuatilia taili hizo za baiskeli

Zikawa ongiza mpaka pale alipo kuwa anaishi Yule bwana wainchi baada ya kuingia ndani wakaikuta baiskeli kweli"

Jamaa aka wekwa chini ya ulinzi na mpaka Sasa yupo ndani

3)mtu wa tatu/kisa Cha tatu

Huyu bwana yeye alikuwa nimtu mzima kidogo mlefu na mtulivu namtu makini kwa mtazamo ukimwangalia

Huyu bwana yeye alikuwa jambazi la bunduki na aliifanya kazi hiyo kwa mda mlefu akaja akapiga pesa

Na katika kutafuta kwenye harakati zake alipoteza vijana wake wawili kwenye kazi ya mwisho iliyo mwingizia pesa ndefu

Lakini kitendo Cha vijana kufa kazini kili muumiz Sana na aka amini ipo siku na yeye atakufa

Na hatimaye Sasa rasmi akaamua kuacha ujambazi

Akanunua miji,akajenga kwao,akanunua pikipiki na pesa nyingine aka amua kuwekeza kwenye kilimo na biashara ya ng'ombe

Yeye alikuwa hachinji ng'ombe na kuuza badara yake kazi yake ilikuwa kununua ng'ombe vijijini na kuwa peleka mjini na kuwa uzia wauza bucha

Bwana huyo anasema aliendelea na maisha Yale kwa mda mlefu Sana akiwa ameachana na Mambo ya ujambazi

Lakini alikuwa na dada yake pale nyumbani dada huyo alikuwa nimzuri Sana na mpole Sana

Dada huyo aliolewa na bwana mmoja asiye eleweka na bwana huyo alikuwa akimnyanyasa Sana dada ake

Baada ya kuvumilia kwa mda mlefu Yule bwana akaamua kumludisha dada ake nyumbani

Na kumludishia jamaa malizake

Yule bwana akaanza kuntunza mwenyewe dada ake pale nyumbani

Dada aka nenepa mwili wake ukaja Yule bwana akapata habari za kubadilika kwa mkewe

Mapenzi haya ingiliwi

watu Waka ludiana kwasiri pasipo kaka kujua kaka aka pata habari

akaenda kumwonya dada yake

dada akamwambia mewe bwana mimi.nipo tayali kuludiana na wewe Ila tatizo ni kaka hataki.kabisa kuskia hizo habari"

Yule mume mpuuzi akaendelea kumvizia mkewe

kaka akamtokea akamwonya bwana bwana we kaa mbali na mdogo wangu

Baada ya mkwala mzito Yule bwana hakujibu akaondoka

Baada ya wiki kupita Yule bwana mpuuzi akaja kwa mkewe

bahatinzuli mkewe alikuwa amelala na mtoto wa kaka ake siku hiyo

Yule bwana akaja na soda mbili moja akampa mtoto anywe pale nyumbani

Na nyingine akampa mkewe aedelee kunywa wakati ana msindikiza mumewe

Basi mtoto akabaki pale akimsubili aunt lakini mpaka hasubuhi aunt hakuludi"

mtoto ikabidi alale peke yake Tena mlango wazi akijua aunt ataludi lakini wapi."

Hasubuhi na mapema Yule mtoto akawai kwa baba yake na kutoa taarifa kwamba shangazi yake Jana hakulala ndani

Kaka mtu akapata habari akaanza upelelezi sio mda akapata habari kwamba Kuna habari

Kwamba Kuna mwanamke amekutwa kauwawa sehemu Ile kukimbia na piki piki mpaka eneo la tukio anakuta ni dada yake kafa kwa kunyongwa"

Police wakaja eneo la tukio na kufanya uchunguzi Kisha Waka amulu marehemu
azikwe"

jamaa anasema aliumia Sana aliwaza mengi Sana lakini akaona sababu ameachana na Mambo ya unyangisi na ameamua kumludia mungu acha amwachie mungu

Anasema baada ya kumhoji Yule mtoto akajilidhisha aliye muuwa dada yake ni yule shemeji yake"

na kakimbia hayupo na haeleweki Yuko wapi

anasema akajikaza kiume

Siku zikaenda na yeye akaendelea na maisha yake ya kununua na kuuza ng'ombe

Akaendelea kusema baada ya mwaka mmoja kupita Kuna baba yake na Yule mume wa dada yake/shemeji yake Yule aliye muuwa dada ake

Yule mzee alikuwa ni mtu wa pombe Sana Sasa siku moja akawa ameenda kunywa kwenye Kijiji anacho kaa huyo jamaa

Baada ya kunywa Yule mzee akawa analudi kijijini kwao wakati huo Yule bwana alikuwa yupo mjini kupeleka mzigo/ng'ombe

Na alikuwa huko kwa siku mbili Sasa akiwa anajiandaa kuludi kijijini akapigiwa simu na Wana Kijiji wenzie

kwamba bwana tunajua kwamba wewe kwa Sasa ulisha achana na Mambo ya ajabu ajabu

lakini Kuna Jambo limetokea hapa kijijini ambalo kivyovyote lazima litakuhusu

Nahata Kama halita kuhusu Basi mshukiwa wa Kwanza utakuwa wewe na hata Kama sio wewe mpaka ijulikane utakuwa umeumia sana

Ana sema Baada ya kuwa uliza Kuna Nini akaambiwa kwamba baba mkwe wa dada yako/ baba yake na aliye muuwa dada yako/shemeji yako

aliye uwawa mwaka Jana amekutwa kauwawa na alitoka kunywa kijijini kwetu hapahapa

Sasa mpaka Sasa maaskali wapo hapa Wana kusubili na watu wengi wanajua sio wewe lakini maaskali hawataki kuamini Hilo hasa ukizingatia Mambo yako ya zamani kwahiyo usije huku.

Bwana Yule akasema Sasa sababu Mimi sija husika Nita kimbiaje?

Mimi nakuja huko huko hata Kama maaskali wanajua Mambo yangu ya zamani hata hivyo wanajua nilisha achana nayo Kwahiyo nakuja"

anasema Wana Kijiji walimuomba Sana asiludi lakini yeye akaludi pale kijijini

Baada ya kufika akapaki pikipiki nakuikalia Kisha akawaona maaskali walio vaa kilaia Wana zunguka ili wa mvizie kwa nyuma

Nayeye alikuwa ana uwezo wa kufanya chochote kwa maelezo yake

lakini akaamua kukaa kimya baada ya kufika maaskali kwa hofu wakamweka chini ya ulinzi

Wakijua atafanya chochote lakini yeye ana sema aliwa skiliza wakampiga pingu akaondoka nao mpaka kituoni

Baada ya kufika kituoni wakaanza kumpiga na malungu kwenye ugoko wakitaka akubali kosa Hilo lakini bwana Yule alikataa

Wakaanza kufukua mpaka Mambo yake ya kale lakini akawa ambia bwana hayo Mambo Mimi niliacha mda mbona mpaka zana nilii ikabidhi?

Bwana huyo anadai alipigwa mguu na malungu mpaka mfupa wa ugoko ukatawanyika/kuvunjika wakimlazimisha akubali lakini alikataa

Aliendelea kuongea huku akinionyesha mguu wenyewe ambao tayali nikilema

Anasema baada ya kuona nimezimia wakani beba na kunileta hapa

na ndipo bwana jera akasema mtu huyu hawezi kuingia kwenye jera yangu akiwa kwenye Hari hii

Hivyo akaoba apelekwe kwanza hospital ambako huko alipigwa dripu za maji na damu

Na alipo pata nafuu ndipo akaendelea kuugua huku akitibiwa na doctor wa jera""

Nilipo muuliza ana mda gani pale jera akani jibu kwamba ana miaka mitatu na nusu"

Na mahaka.mani ameenda Mara mbili na kila akisimama askali Yule anaye simamia kesi yake/fairi lake ana sema upelelezi unaendelea

Binafsi nilimpa pole Kisha Nika mwambia..

kaka yangu kazi yako uliyo kuwa unaifanya ilikuwa kazi mbaya Sana lazima ulipoteza robo nyingi Sana za watu

Na zile damu zilikuwa Zina kulilia hivyo ilikuwa nilazima uingie jera Kama hivi Kisha utoke pamoja na kwamba umeokoka kwa Sasa

Ilikuwa nivigumu kuishi kwa amani japo uliacha kazi yako ya ujambazi lakini utakapo toka hapa utakuwa huru na mungu atakusaidia utatoka

Baada ya hapo tuliendelea kusikiliza visa vingine mpaka mda wa kulala ulipo fika

Baada ya mda wa kulala kufika nyampala mkuu wa cell namba moja akaamuru kwamba tuanze kuandaa mazingira ya kulala

Maandalizi yakaanza kwa kuviunganisha vipande vya magodoro ili vionekane godoro

Baada ya hapo tulianza kulala kwa kupishana kichwa miguuni kwa mwenzio namwenzio kichwa miguuni kwako

Nilishuhudia wazee wale wanne tulio ingia wote jera wakizabwa vibao na watoto wa miaka 18"

kwa kusindwa kulala au kunyosha miguu yao vizuri

Nilikaa pale siku 12 lakini ilikuwa nikama miezi 12 hakika ulikuwa ni msoto

Lakini pia Kuna haya....

1)Kuna watu jela wana tembea wakiwa uchi kwani aliingia na suluali moja na amekaa hapo miaka

Hivyo Kama huwa una tupa nguo tembelea jera wape hizo nguo zitawa sitiri

2)Jera hakuna kitu chenye thamani Kama sabuni

kipande kidoogo Sana Cha sababu kina weza kununua parachichi,mafuta ya kukaangia mboga,mchele,unga Safi mafuta ya kupakaa n.k

Hivyo uendapo jera kuwa tembelea beba hata Miche mitatu badara ya chakula uta mfanya ndugu yako humo aishi Kama mfalme

3)Jera watu wawili na zaidi wanakatia nywele wembe mmoja inategemeana na Hali uliyo nayo kiuchumi hapo jera

Na nyembe zinauzwa kwa kubadilishana na kile ulicho nacho mfano sabuni,mboga,nk

Na wanao uza niwale walio fungwa miaka ya kuzidi

4)Jera kunawatu wanakaa Kama mabubu unaweza mwongelesha akaku skia lakini asiku jibu hii inatokana na kukaa mda mlefu nakuulizwa maswali mengi nawatu wengi walionkuta ngulia wewe unaye muuliza

5)jera na chawa nikama samaki ndani ya maji sijui kwanini mamlaka zimelikalia kimya Hilo?

6)ukiwa jera acha shobo na offer za manyampala na viele ele yata kukuta makubwa

Lidhika na maharage na Dona lako kalale naludia Tena kataa kabisa ofa ukiwa jera

7) epuka makundi ukiwa jera kwani jera Kuna majambazi lakini bado mitandao yao Ina fanya kazi huku nje

Unaweza kuingia maraika ukaludi shetani eouka makundi haya fai ukiwa jera

Nakumbuka kunasiku jpm r.i.p

aliwai kusema Kuna watu jera wame nyooka hata ukimwangalia unajua wazi kwamba ukimsamehe hato ludia kosa alilo fanya lakini bado tumewa shikilia

Hao watu wapo na mamlaka Zina jua

Mwisho jera Kuna kila kitu Kama una chochote

Lakini jera nikuzimu tunayo ishi nayo duniani Kama huna kitu. Tutafute pesa wazee mpaka jera maskini anashida baraa

Ndugu zangu wano ingia jera niwatu nawatu nisisi

Hivyo tuji tahidi Japo mala moja kwa mwaka tuwa tembeleeni walioko jera na vizawadi vya sabuni na sukali pamoja nanguo

Kama sehemu ya toba juu ya dhambi zetu na mungu atatu rehemu
 
Hivyo tuji tahidi Japo mala moja kwa mwaka tuwa tembeleeni walioko jera na vizawadi vya sabuni na aukali pamoja nanguo

Kama sehemu ya toba juu ya dhambi zetu na mungu atatu rehemu
Pole sana, lakini wewe ulifanya kosa gani? Ulitapeli au?
 
Back
Top Bottom