Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
- Thread starter
- #201
Una fika unataja majina yako matatu na kazi yako Kisha una waambia nimekuja kuwa tembelea wafungwa na mahabusu Kama sehemu ya ibaada katika Imani yangu watakuelewa mkuuUtaratibu wa kutembelea upoje? Maana kuna watu wanapaogopa unaweza ukaenda mule usirudi uraiani ukabakia humo humo kwa hio toa maelezo kila siku unaruhusiwa kwenda kutembelea na kuwaona wafungwa na unapitia taratibu zipi ili mtu aelewe maana panatisha pale Mimi nikipishana na wafungwa wananiangalia kwa huruma sana kuna kitu wanatamani kuniambia ila sijui wanataka kusema nini kwa hio wanapokodoa macho naogopa hata kuwasogelea na pia ungeongeza sio jela zote wanaishi maisha magumu hivyo kuna jela zingine treatment ni nzuri zaidi km upo uraiani tu
Kumbuka huwezi kuingia jera bila fairi la mahakama kwahiyo Hilo halina shida mkuu