ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
Si tayar analo, SIZONJE.Aise hatar sana JPM we2 apewe nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tayar analo, SIZONJE.Aise hatar sana JPM we2 apewe nae
Swali langu ni kuwa; Kutambulika mapema kwa hizo codes hakuna athali yoyote kiusalama?Katika Presidential Protective Division ya Secret Service codes names haipo katika protection codes so kwa maana nyingine codenames au majina ya utambuzi hayapo ktk kipengele cha ulinzi wa Rais ila yanatumiwa kama majina ya utambuzi ktk mawasiliano kwa magent wa SS
Mara nying hizo code names hutumika kwenye National Special Security Event (NSSE) na ni familia nzima ya kiongozi wanakuwa na hzo code names ambayo uchagua kutoka kwenye White House Communications Agency.ambao wanakuwa na majina pendekezwa na muhusika uchagua jina lake
Na siyo tu Rais ndo anayo hyo codenames mtu yeyote au mgeni yeyote anayekwenda White house lazima anapewa codename kama jina la utambulisho kwa maagent wa SS hasa kikosi cha U . S. Secret Service ’s counter assault team (CAT) a.k.a Secret Service’s baddest bad boys kikosi chenye jukumu la kumlinda rais na wageni wa rais
So codename ni kama vile ilivyo watu wengi wanajua Air Force one ni ndege kumbe ndege ni Boeing 747-200B ambazo dunian zipo nying tu lakini Air force one ni Air traffic control call sign
So kitendo cha rais wa US kuwa ndani ndege yeyote inaweza kupata call sigh ya airforce one hata kama ikitokea siku Rais wa US akapanda Bomberdia ya JPM itabadilika call sigh na kuwa Airforce one
Hivyo yani!Hayo majina si yanatakiwa yasiwe yanajulikana na raia wa kawaida ama?
Hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya Codenames na Presidential security clearance ambazo zinakuwaga ni designated information ( classified information) ndio maana hzo codename zinatambulika kwa watu na pia codename zinatumika kwenye matukio maalumu tu kama National Special Security Event (NSSE) na zinaweza kubadilika kutokana na mahitaji na ni watu wengi tu wanapewa codes name si rais pekeyake wengi tu familia nzima , wafanyakazi wa ikulu wale ambao wako under secret service ControlSwali langu ni kuwa; Kutambulika mapema kwa hizo codes hakuna athali yoyote kiusalama?
Mfano, mleta uzi kaonesha codes za rais wa USA aliyepo madarakani sa hizi, vipi wadukuzi wakiingilia mawasiliano ya SS, hawawezi kuleta athali?
usalama wa taifa humtambua kama GUGUMAMagu?
Swali langu ni kuwa; Kutambulika mapema kwa hizo codes hakuna athali yoyote kiusalama?
Mfano, mleta uzi kaonesha codes za rais wa USA aliyepo madarakani sa hizi, vipi
wadukuzi wakiingilia mawasiliano ya SS, hawawezi kuleta athali?
Mfano, kama adui anapanga assassination na akajua location ya rais kupitia codes hizo ambazo tayar zinatambulika, haitakuwa rais kutekeleza shambulio? Maana nionavyo adui anaweza kujua route nzima ya raisHebu fafanua hizo athari na utokeaji wake
Mfano, kama adui anapanga assassination na akajua location ya rais kupitia codes hizo ambazo tayar zinatambulika, haitakuwa rais kutekeleza shambulio? Maana
nionavyo adui anaweza kujua route nzima ya rais
usalama wa taifa humtambua kama GUGUMA
Wewe naona hata sio mtoa msaada niliouomba, labda unafikiri niko hapa kubishana wakati me natafuta msaada kutoka kwa wanaojua haya mambo!
CAT, SAD DYNAMIC aaah haya bana wanaongea shimoni
Wewe naona hata sio mtoa msaada niliouomba, labda unafikiri niko hapa kubishana wakati me natafuta msaada kutoka kwa wanaojua haya mambo!
Sasa wewe badala ya kutoa ufafanuzi naona unaleta
vijembe[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wewe naona hata sio mtoa msaada niliouomba, labda unafikiri niko hapa kubishana wakati me natafuta msaada kutoka kwa wanaojua haya mambo!
Sasa wewe badala ya kutoa
ufafanuzi naona unaleta vijembe[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hii sio interrogation session mkuu!Unahusianisha vip codenames na hicho ulichofikiria?
Hii sio interrogation session mkuu!
Magu?
kama hata wewe unayafahamu sasa huo usiri wake uko wapi?Wana jamvi
Salaam
Kila sehemu lazima kuwe na muongozo wa kufuata ili mambo yaende yanavyopaswa.
Marais wa Marekani hata nchi nyingine wanapewa majina fumbo "code names" kutoka kwa taasisi ya ulinzi wa viongozi haswa Marekani yaani Secret Services, viongozi wa taasisi hiyo nyeti mno duniani huketi na kwa kuwa walimjua tangu mwanzo kiongozi ajae humchambua zaidi na kutoa jina la siri kwaajili yake ili kurahisisha mawasiliano ya siri katika utendaji na safari zake, majina hayo hutolewa kufuata Muonekano, tabia, ushawishi, maongezi yake hata misimamo ya kiongozi huyo vilevile kiongozi huyo na familia yake wanaweza kuchagua kutoka katika mfumo wa mawasiliano wa ikulu kwa kuchagua maneno kadhaa pendekezwa yatumike
Secret service walitoa majina yafuatayo kwa viongozi hawa hapa:-
Gerald Ford, huyu alikua Rais wa 38 wa Marekani kati ya mwaka 1974 hadi 1977. alipoingia madarakani alikuta kuna wimbi la kashfa ya Watergate lillilomuandama mtangulizi wake yaani Richard Nixon, Ford alitamka hana mpango wa kumfungulia wala kuendelea na mashtaka juu ya mtangulizi wake ndipo alipoweka passkey ya zuio hilo, kutokana na hali hiyo Secret service wakampa jina la fumbo Passkey
Bill Clinton, Rais mstaarabu na mtulivu sana yeye aliwapenda sana scout boys na kazi zao haswa jinsi wanavyojiongoza yaani mpiganaji mwenye nguvu na maamuzi sahihi alijulikana kama Eagle hivyo secret service walimbatiza jinafumbo kuwa Eagle ndilo walilotumia katika mawasiliano dhidi yake
Baraka Obama, secret service walimpa jina la Renegade na walimuona sio mtiifu sana kwao lakini ni mpole sana, Michelle Obama Mke wake alipewa jina la Renaissance kwasababu ya matumaini aliyonayo katika kusaidia jamii
Donald John Trump, huyu ni Rais wa 45 wa Marekani na ndio yupo madarakani, kutokana na haiba na tabia zake za kijasiliamali na biashara zaidi na kupenda kukuza vitega uchumi, na jinsi anavyoongea, hivyo secret service walimpa jina la Mogul kama jina fumbo na ndilo wanalomuita katika kazi zao,Melania Trump is alipewa jina la“Muse, kwasababu ya kumfikirisha Trump kibiashara zaidi.
kidevuMchagulie basi kama matatu hivi
kidevu