comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
- Thread starter
- #61
Hahahahahahaha sawa kama ni kweliMtoa mada mdanganyifu Mkubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha sawa kama ni kweliMtoa mada mdanganyifu Mkubwa sana
Wana jamvi
Salaam
Kila sehemu lazima kuwe na muongozo wa kufuata ili mambo yaende yanavyopaswa.
Marais wa Marekani hata nchi nyingine wanapewa majina fumbo "code names" kutoka moja ya vitengo vya taasisi ya ulinzi wa viongozi haswa Marekani yaani kitengo ndani ya Secret Services, viongozi wa taasisi hiyo nyeti mno duniani huketi na kwa kuwa walimjua tangu mwanzo kiongozi ajae humchambua zaidi na kutoa jina la siri kwaajili yake ili kurahisisha mawasiliano ya siri katika utendaji na matukio muhimu ya kitaifa, vilevile katika safari zake, majina hayo hutolewa kufuata Muonekano, tabia, ushawishi, matukio na maongezi yake hata misimamo ya kiongozi huyo vilevile kiongozi huyo na familia yake wanaweza kuchagua kutoka katika mfumo wa mawasiliano wa ikulu kwa kuchagua maneno kadhaa pendekezwa yatumike, hivyo kitengo kimoja wapo katika Secret service kilitoa majina yafuatayo kwa viongozi hawa hapa:-
Gerald Ford, huyu alikua Rais wa 38 wa Marekani kati ya mwaka 1974 hadi 1977. alipoingia madarakani alikuta kuna wimbi la kashfa ya Watergate lillilomuandama mtangulizi wake yaani Richard Nixon, Ford alitamka hana mpango wa kumfungulia wala kuendelea na mashtaka juu ya mtangulizi wake ndipo alipoweka passkey ya zuio hilo, kutokana na hali hiyo kitengo ndani ya Secret service wakampa jina la fumbo Passkey
Bill Clinton, Rais mstaarabu na mtulivu sana yeye aliwapenda sana scout boys na kazi zao haswa jinsi wanavyojiongoza yaani mpiganaji mwenye nguvu na maamuzi sahihi alijulikana kama Eagle hivyo kitengo kilichopo ndani ya secret service kilitoa jinafumbo kuwa Eagle ndilo walilotumia katika mawasiliano katika matukio kadhaa.
Baraka Obama, kitengo ndani ya secret service kilimpa jina la Renegade na walimuona sio mtiifu sana kwao lakini ni mpole sana, Michelle Obama Mke wake alipewa jina la Renaissance kwasababu ya matumaini aliyonayo katika kusaidia jamii
Donald John Trump, huyu ni Rais wa 45 wa Marekani na ndio yupo madarakani, kutokana na haiba na tabia zake za kijasiriamali na biashara zaidi na kupenda kukuza vitega uchumi, na jinsi anavyoongea, hivyo kitengo kilichopo ndani ya secret service walimpa jina la Mogul kama jina fumbo na ndilo wanalomuita katika kazi zao,Melania Trump is alipewa jina la“Muse, kwasababu ya kumfikirisha Trump kibiashara zaidi.
[emoji1] hayo majina fumbo ni siri lakin mpaka wew wa buguruni unayajua...acha uongo basi
Na huyu wa kwetu kapewa jina gani [emoji45]

Kata umemeTinga Tinga.
Bulldozer.
Jembe.
Kibokoyao.
Wakati Raisi wa 35 wa Marekani John Fitzgerald Kennedy kitengo cha USSS walimpatia code name ya "Lancer" na mkewe Jacqueline Bouvier alijulikana kama "Lace"Wana jamvi
Salaam
Kila sehemu lazima kuwe na muongozo wa kufuata ili mambo yaende yanavyopaswa.
Marais wa Marekani hata nchi nyingine wanapewa majina fumbo "code names" kutoka moja ya vitengo vya taasisi ya ulinzi wa viongozi haswa Marekani yaani kitengo ndani ya Secret Services, viongozi wa taasisi hiyo nyeti mno duniani huketi na kwa kuwa walimjua tangu mwanzo kiongozi ajae humchambua zaidi na kutoa jina la siri kwaajili yake ili kurahisisha mawasiliano ya siri katika utendaji na matukio muhimu ya kitaifa, vilevile katika safari zake, majina hayo hutolewa kufuata Muonekano, tabia, ushawishi, matukio na maongezi yake hata misimamo ya kiongozi huyo vilevile kiongozi huyo na familia yake wanaweza kuchagua kutoka katika mfumo wa mawasiliano wa ikulu kwa kuchagua maneno kadhaa pendekezwa yatumike, hivyo kitengo kimoja wapo katika Secret service kilitoa majina yafuatayo kwa viongozi hawa hapa:-
Gerald Ford, huyu alikua Rais wa 38 wa Marekani kati ya mwaka 1974 hadi 1977. alipoingia madarakani alikuta kuna wimbi la kashfa ya Watergate lillilomuandama mtangulizi wake yaani Richard Nixon, Ford alitamka hana mpango wa kumfungulia wala kuendelea na mashtaka juu ya mtangulizi wake ndipo alipoweka passkey ya zuio hilo, kutokana na hali hiyo kitengo ndani ya Secret service wakampa jina la fumbo Passkey
Bill Clinton, Rais mstaarabu na mtulivu sana yeye aliwapenda sana scout boys na kazi zao haswa jinsi wanavyojiongoza yaani mpiganaji mwenye nguvu na maamuzi sahihi alijulikana kama Eagle hivyo kitengo kilichopo ndani ya secret service kilitoa jinafumbo kuwa Eagle ndilo walilotumia katika mawasiliano katika matukio kadhaa.
Baraka Obama, kitengo ndani ya secret service kiliacha Rais Obama achague katika herufi anazopenda na kufikia herufi R Rais Obama akachagua jina la Renegade, Michelle Obama Mke wake alipewa jina la Renaissance kwasababu ya matumaini aliyonayo katika kusaidia jamii
Donald John Trump, huyu ni Rais wa 45 wa Marekani na ndio yupo madarakani, kutokana na haiba na tabia zake za kijasiriamali na biashara zaidi na kupenda kukuza vitega uchumi, na jinsi anavyoongea, hivyo kitengo kilichopo ndani ya secret service walimpa jina la Mogul kama jina fumbo na ndilo wanalomuita katika kazi zao,Melania Trump is alipewa jina la“Muse, kwasababu ya kumfikirisha Trump kibiashara zaidi.
Wakati Raisi wa 35 wa Marekani John Fitzgerald Kennedy kitengo cha USSS walimpatia code name ya "Lancer" na mkewe Jacqueline Bouvier alijulikana kama "Lace"
Na huyu wa kwetu kapewa jina gani [emoji45]
Kawaida tu hata kambini tuna codes....kuna siku risasi zinaitwa vocha, sasa njoo ujifanye mwenyeji halafu hujui code ya Siku hiyo
We ni mwongo! Majina ya siri kamwe huwa hayafahamiki, ukiona limefahamika ujue hilo fake secret name!
HovyoooooWe ni mwongo! Majina ya siri kamwe huwa hayafahamiki, ukiona limefahamika ujue hilo fake secret name!
Ungekuwa kitengo cha secret service (tiss) ungempa codename gani?Mimi ningemwita 'cyclone'Magu?