Yajue majinafumbo ya Marais wa Marekani wanayopewa na Secret service

Yajue majinafumbo ya Marais wa Marekani wanayopewa na Secret service

Mkuu Codes names ziko kila sehemu... Na hio inayojulikana na watu wengi Haitumiki sana na Wale PSU ya Raisi Kwa wenzetu US kuanzia POTUS, FLOTUS na first family wote wako coded Kiusalama zaidi SS huweza kudecode
names zao na kufanya
maongezi safely through handset waliozovaa public bila mtu kungundua
Basi sawa
 
Kumbe kwenye Jukwaa hili siku hizi kuna mizaa mizaa?
 
Hujui cyclone ni nini na hufanya nini? Kwa tafsiri cyclone ni kimbunga.Huyo mtu naona ana tabia za kimbunga katika utendaji wake.

Mi ninavyojua kimbunga kinazuka na kuibuka ghafla sasa mbona hakuna mahusiano ya kitabia na huyo unaemtaja
 
Nyongeza tu hata hizo passkeys ama passcodes huwa zinabadilika mara kwa mara. Hata hiyo uliogundua ya Trump huenda imekwisha badilika kitambo kabisa.
 
hebu tujikumbushe nick names walizopewa Marais wetu Tz...
 
Back
Top Bottom