comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
- Thread starter
- #81
Basi sawaMkuu Codes names ziko kila sehemu... Na hio inayojulikana na watu wengi Haitumiki sana na Wale PSU ya Raisi Kwa wenzetu US kuanzia POTUS, FLOTUS na first family wote wako coded Kiusalama zaidi SS huweza kudecode
names zao na kufanya
maongezi safely through handset waliozovaa public bila mtu kungundua