Yajue majinafumbo ya Marais wa Marekani wanayopewa na Secret service

Siku 1 kwenye mataa ya kuongozea magari trafiki katupiga mkono na radio koli yake inasikika kwa kujirudia rudia "lulu 1" mara ikapita pikipiki yao ikiongoza magari mawili bahati mbaya sikumuona aliye kuwa ndani ya yale magari

Haya majina yanatumiwa na hata waongoza misafara ya viongozi si secret service tu.

Na washawasha!
 
Sijasema secret service peke yao ukisoma mwanzo utaelewa kwamba sio Marekani tu
 
Back
Top Bottom