Yajue majinafumbo ya Marais wa Marekani wanayopewa na Secret service

Swali langu ni kuwa; Kutambulika mapema kwa hizo codes hakuna athali yoyote kiusalama?

Mfano, mleta uzi kaonesha codes za rais wa USA aliyepo madarakani sa hizi, vipi wadukuzi wakiingilia mawasiliano ya SS, hawawezi kuleta athali?
 
Hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya Codenames na Presidential security clearance ambazo zinakuwaga ni designated information ( classified information) ndio maana hzo codename zinatambulika kwa watu na pia codename zinatumika kwenye matukio maalumu tu kama National Special Security Event (NSSE) na zinaweza kubadilika kutokana na mahitaji na ni watu wengi tu wanapewa codes name si rais pekeyake wengi tu familia nzima , wafanyakazi wa ikulu wale ambao wako under secret service Control

Ndani ya US kuna watu wako under SS proctection na wapo wengine wako under SS Control

Kikosi cha Secret Service ’s counter assault team (CAT) ndio wenye kujumu la ulinzi wa wale ambao wako under SS protection wakati hzo codename ziko kwenye taasisi ya White House Communications Agency

Kuhusu kudukua sidhani kama kuna mtu anaweza kufanya hvyo trust me wenzetu wamewekeza sana kwenye ulinzi wa rais kila taasisi inafanya kila liwezekanalo rais hawe safe en sound dhidi ya threat ya aina yeyote so ulinzi wa cyber hyo ni kazi ya NSA na wakiwa kwenye ulinzi wao wa kawaida nje ya National Special Security Event (NSSE) wanatumia codename zingine si hyo mnayoijua nyinyi na si kila agent wa SS anapewa hyo codename ni wale au kikosi kijulikanacho kama Advance team au Protective Services Detail (PSD) coz ndani ya SS kuna vitengo tofauti kutokana na majukumu na unyeti wa kazi yako
 
Swali langu ni kuwa; Kutambulika mapema kwa hizo codes hakuna athali yoyote kiusalama?

Mfano, mleta uzi kaonesha codes za rais wa USA aliyepo madarakani sa hizi, vipi
wadukuzi wakiingilia mawasiliano ya SS, hawawezi kuleta athali?

Hebu fafanua hizo athari na utokeaji wake
 
Hebu fafanua hizo athari na utokeaji wake
Mfano, kama adui anapanga assassination na akajua location ya rais kupitia codes hizo ambazo tayar zinatambulika, haitakuwa rais kutekeleza shambulio? Maana nionavyo adui anaweza kujua route nzima ya rais
 
Mfano, kama adui anapanga assassination na akajua location ya rais kupitia codes hizo ambazo tayar zinatambulika, haitakuwa rais kutekeleza shambulio? Maana
nionavyo adui anaweza kujua route nzima ya rais

CAT, SAD DYNAMIC aaah haya bana wanaongea shimoni
 
CAT, SAD DYNAMIC aaah haya bana wanaongea shimoni
Wewe naona hata sio mtoa msaada niliouomba, labda unafikiri niko hapa kubishana wakati me natafuta msaada kutoka kwa wanaojua haya mambo!

Sasa wewe badala ya kutoa ufafanuzi naona unaleta vijembe[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Aardwolfs na Jackals huwa wanakimbia sana miguu ya mbele hurudi nyuma lakini hawapati kiu sana
 
Wewe naona hata sio mtoa msaada niliouomba, labda unafikiri niko hapa kubishana wakati me natafuta msaada kutoka kwa wanaojua haya mambo!
Sasa wewe badala ya kutoa ufafanuzi naona unaleta
vijembe[emoji57] [emoji57] [emoji57]

Hapana
 
Wewe naona hata sio mtoa msaada niliouomba, labda unafikiri niko hapa kubishana wakati me natafuta msaada kutoka kwa wanaojua haya mambo!

Sasa wewe badala ya kutoa
ufafanuzi naona unaleta vijembe[emoji57] [emoji57] [emoji57]

Unahusianisha vip codenames na hicho ulichofikiria?
 
kama hata wewe unayafahamu sasa huo usiri wake uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…