Yajue makundi ya vyakula pamoja na faida za kula chakula bora

Huo muda wa kutengeneza hiyo diet ni nani anao hapo Daslama? Mwanamke gani atakaa apike hayo mavitu on top of that ni gharama sana kuweka consistency ukizingatia gharama za hayo mavitu sokoni.

Practicality ni kwa ma Don tu ila sie mbwa kala mbwa hatuna namna zaidi ya kujisindilia wanga tu.
 
Wanga basi punguza portion, ongeza mboga kwenye sahani yaani nyumbani wewe mama na watoto wawili mle makabichi mawili na 1/2 kilo ya nyama. Nusu ya sahani kabichi robo ugali na vipande viwili vya nyama.
 
usemalo hupingwa na tabu hasa ugonjwa ambao utakulazimu kuweka baadhi ya vyakula kando mfano wanga na sukari
 
weee mama weka wa kushiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…