Yajue makundi ya vyakula pamoja na faida za kula chakula bora

Hivyo vyakula kwa ajili ya watu laini laini sio sisi tunaotafuta riziki kwa kupunyanga.
 
umeeleza vyema ila akiba ya mafuta kwenye gari huwa inatumika pindi mafuta yalokusudiwa kuendesha gari kuisha na si vinginevyo, Mafuta ni sukari iliyobadilishwa ili iweze kuhifadhiwa kwa matumizi ya baadae undapo mwili utapungukiwa nguvu na mtu hajapata chakula kwa muda mrefu, mafuta huanza kurudishwa katika mfumo wa sukari na kutumika tena, na ndo maana mtu akikaa kwa njaa muda mrefu ananza kupukutika maana mwili unatumia akiba yakwanza ambayo ni mafuta.

Pili vyuma hujenga mwili na ukipiga vyuma hamu ya kula inakuja hata ka hamu ilikuwa imekukalia kando, hivyo ndivyo mwili ujiendesha kwaajili ya kujilinda.
Kadri utakavyokula ndivyo mwili utahifadhi maana huwezi kula sana ukapiga mazoezi sana kuweza,

Tatu mwili mkubwa hupanua moyo ushahidi mkubwa angalia wanyanyua vyuma wengi huwa wamekuwa wahanga wakubwa sana wa shambulizi la moyo, linki nakuambatanishia

Mkuu

Naelewa unachokisema!

Kuhusu Body Builders kupata heart attacks mzee wala sio chakula wala uzito wa vyuma,ni STEROIDS!

Hilo ndio jibu sahihi!

Hayo mengine kuhusu body builders ni total fabrications!

Kama ulivyosema,ATP itumike yote then ile ziada ambayo ipo in form of FAT ndio itatumika,ni sahihi..Kunyanyua vitu vizito can guarantee that!

Kunyanyua vyuma inahitaji too much energy in such a way that inakula ile FAT yote na inavamia ile FAT na kuitumia yote kujenga muscles!

Zile muscles zinafanya mtu anapasuka.Na muscles sio FAT,ile ni kama pure steki,ambayo ni sawa!

Ukila chakula kawaida bila steroids za aina yoyote na ukanyanyua vyuma kadiri unavyoweza guarantee ya kumaliza fat na kujenga muscles ni 100% bila eti cha heart attack wala ujinga mwingine wa kupumua,etc!

Kunyanyua vyuma ni so intense kukuhakikishia burning ya ujinga wote called fat na pia upumuaji kuhakikisha cardio system ni well workout!

Tatizo labda ni kujua body yako inabeba uzito gani kwa muda gani,hiyo ndio unatakiwa ushinde Youtube upate elimu ya kutosha!

Vyuma ni so reliable ina guarantee 1 year kupata clean muscles na zero fat.

Thats true kwangu binafsi,nilijaribu yote hayo,kukimbia,aerobics,etc ila nikaona natumia muda mwingi kuzunguka zunguka bila true shredding down of fats,vyuma hasa vizito na ukasukuma haswa bila cheating,results ni inevitable!
 
Pia vinahitaji muda na pesa, huwa Nina freeze vegetables

I wish ningekua na mke kama wewe conscious namna hii!

Hua nakurupuka mipango kibao,nanunua veggies,mayai,matunda,etc...natumia mwezi mmoja vikiisha narudia kule kule bya kukaanga!

Nikaona heri niende gym ndio ratiba iliyo ndani ya uwezo wangu!

Jikoni wengine ndio wana mamlaka napo!

Nakontoroo kiasi cha kupakua na kwenda gym nasukuma kadiri niwezavyo,narudi home naweka matako chini!

Jikoni pana politics sana!
 
Daaahhh, nimekumbuka bana, nilivaaga sana katambuga hadi nilipofika darasa la 5 Mwl wa darasa alipoanza kutukazania tununue viatu tuachane na katambuga, ndio nikanunua.
Afadhali wewe wenzako walianza chekechea peku mpaka wakamaliza darasa la saba.
 
I wish ningekua na mke kama wewe conscious namna hii!

Hua nakurupuka mipango kibao,nanunua veggies,mayai,matunda,etc...natumia mwezi mmoja vikiisha narudia kule kule bya kukaanga!

Nikaona heri niende gym ndio ratiba iliyo ndani ya uwezo wangu!

Jikoni wengine ndio wana mamlaka napo!

Nakontoroo kiasi cha kupakua na kwenda gym nasukuma kadiri niwezavyo,narudi home naweka matako chini!

Jikoni pana politics sana!
Ilikua mume wako hali nyama au anakula kidogo sana lakini anapenda mboga mboga si ndiyo unashikilia hapo. Ndiyo limbwata lenyewe hilo.
 
Mkuu!

Upo sawa unachosema!

Ila sisi wanaume tukishaoa in fact nyumba ni essentially ya wanawake!

Hizo veggies meals unaweza komalia miezi miwili mitatu ila hua wanarudia mambo yao wanayopenda wao zaidi!

Hua jiko ni lao...na ukisema ubweke sana wapike hizo maneno kila siku watakuambia ukapike mwenyewe!

Ndio maana nimeamua kufanya vile vilivyopo kwenye uwezo wangu!
 
Mkuu

Naelewa unachokisema!

Kuhusu Body Builders kupata heart attacks mzee wala sio chakula wala uzito wa vyuma,ni STEROIDS!

Hilo ndio jibu sahihi!

Hayo mengine kuhusu body builders ni total fabrications!

Kama ulivyosema,ATP itumike yote then ile ziada ambayo ipo in form of FAT ndio itatumika,ni sahihi..Kunyanyua vitu vizito can guarantee that!

Kunyanyua vyuma inahitaji too much energy in such a way that inakula ile FAT yote na inavamia ile FAT na kuitumia yote kujenga muscles!

Zile muscles zinafanya mtu anapasuka.Na muscles sio FAT,ile ni kama pure steki,ambayo ni sawa!

Ukila chakula kawaida bila steroids za aina yoyote na ukanyanyua vyuma kadiri unavyoweza guarantee ya kumaliza fat na kujenga muscles ni 100% bila eti cha heart attack wala ujinga mwingine wa kupumua,etc!

Kunyanyua vyuma ni so intense kukuhakikishia burning ya ujinga wote called fat na pia upumuaji kuhakikisha cardio system ni well workout!

Tatizo labda ni kujua body yako inabeba uzito gani kwa muda gani,hiyo ndio unatakiwa ushinde Youtube upate elimu ya kutosha!

Vyuma ni so reliable ina guarantee 1 year kupata clean muscles na zero fat.

Thats true kwangu binafsi,nilijaribu yote hayo,kukimbia,aerobics,etc ila nikaona natumia muda mwingi kuzunguka zunguka bila true shredding down of fats,vyuma hasa vizito na ukasukuma haswa bila cheating,results ni inevitable!
Ndiyo maana wacheza tennis, mpira ngumi heavyweights kwa wazungu wakiwa kambini wanakuwa na dietitian anafanya kazi na mpishi kuhakikisha wanapata mlo unaowafaa.
 
Back
Top Bottom