mkombe kasula
Member
- Jul 11, 2025
- 75
- 36
hivi malaya wa kikurya huku kwenye hizi Bar za Arusha wanasema wamekimbia huko kwenu kumbe ni wanatudanganyaKUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮
1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.
2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.
3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.
4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.
5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.
6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
Hujabainisha connection ya hao "malaya" na hizo baa. Ni wahudumu au ni wateja wanaojiuza kwa kutumia hizo baa kama ofisi. Navyoujua mji wa Arusha siamini kuna kabila halina binti zao kwenye fani uliyoitajahivi malaya wa kikurya huku kwenye hizi Bar za Arusha wanasema wamekimbia huko kwenu kumbe ni wanatudanganya
Unachanganya na wahaya.Wanapenda sifa sana kuanzia wanaume hadi wanawake zao
Vipi yule jamaa sio mkurya aliemuua mke wake Kigamboni na kumchoma na gunia mbili za mkaa? ULishuhulika na kabila lake.Kuna kocha huko kanda ya ziwa walimuua kwa kumkatakata mapango kichwani asee iliniuma sana aliacha watoto wadogo
OkKUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮
1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.
2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.
3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.
4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.
5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.
6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
Nimekaa Kivule , ni kweli kabisa matukio ya uvamizi wa silaha na ukatili kwao sana tuWako poa Ila wanakosa kitu inaitwa Emotional intelligence.
Ukienda Kivule kule DSM unaweza kuona wao kuuana ,kukatana mapanga ni jambo la kawaida Sana .
Kwahiyo Kama ambavyo katika ukoo wa wahaya hauwezi kumkosa Msomi ndivyo katika ukoo wa mkurya hauwezi kumkosa muuaji au akiyeuliwa kwa mauaji.
Ndo maana Wakurya wengi wapo majeshini wao kutesa, kuua, kuumiza ni jambo la kawaida sana .
Na wao awe mwanamke au Mwanamke wote wanafanana
Cc : secretarybirdNapenda mikito ya kimakonde
Mkuu, mwache BICHWA KOMWE -wangu ajimwaye mwaye.