Why diaHili kabila linatisha sana
Naheshimiana na wengi humu Ila jamaa naona anataka kiki kupitia mimi sintoruhusu Hilo kabisaMonetary doctor na Poor Brain ♥️♥️ yaishe bwana.
Shemeji USINITAG KWENYE MAMBO YA hovyo please, tuishie ya kanisani .
Duh uu ni uongo wa karneWakurya ndiyo kabila linaloongoza kwa stress, gadhabu na makasiliko yasiyokuwa na kichwa wala miguu!
Mkurya unaweza kumtania kidogo tu, lakini akareact usivyotegemea...!
Ukabila upo. Ndo maana mmjazana majeshini huko. Pia vita vya wanchari na waryanchoka ni kielelezo tosha cha ukabila ndani ya jamii za kikurya!
Kuna mkurya mmoja alimuoa mtoto wa jirani yangu. Binti alikuwa na katoto kachanga pindi anaolewa, jamaa likawa linamtaka unyumba kinguvu hatimaye likamshona mimba binti wa watu mwanae akingali na miezi minne tu! Mtoto alidumaa akapitwa na mdogo wake na ameishi zaidi ya miaka3 bila kutambaa wala kutembea achilia mbali kuongea!
Mwanamke wa kikurya akichoka manyanyaso kwenye ndoa yake na kuamua kumove-on, ikitokea akaolewa na mme mwingine na kubarikiwa watoto, mme wa awali atakuja kuchukua hao watoto wote kimabavu na kuwachukulia kuwa ni mali yake!
Ikitokea mwanaumme wa kabila jingine akaoa binti wa kikurya, kama hana ngeu, mashemeji zake(kaka za binti) wataunda njama upewe kichapo wakuache na ngeu.
Eeh mkuu wasinitag,🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mkuu unaweza kuangalia idadi ya kabila linaloingia kazini kwasababu Majina hayatangazwi adharani.Njoo na fact angalia idadi ya wakurya inayoingia majeshini Ila intake then linganisha na makabila mengine utapata majibu sahihi.
Mghaka oghambele bhuya mbane.KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮
1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.
2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.
3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.
4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.
5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.
6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
Shemeji naomba uniache nimnyooshe huyu BWABWA eli -THE STALWART- cohenShemeji USINITAG KWENYE MAMBO YA hovyo please, tuishie ya kanisani .
Sio mimi niliyekuita vile lakiniNaheshimiana na wengi humu Ila jamaa naona anataka kiki kupitia mimi sintoruhusu Hilo kabisa
Kama walikuwa wanafanya "Mazoezi" ulitakiwa kuwakemea kuwa zoezi lao lilikuwa hatarishi sio kulalamika humu JF😅Ni jamii duni sana hiyo ukimtisha anatishika sana .
Wengi ndo hawa wanajeshi wake zao wanamegwa na bodaboda .
Kuna mmoja alikuwa ni mwnajeshi anampiga Dereva wa daladala fimbo za usoni dah ile issue iliniumiza Sana kiukweli na wakati anampiga Gari ilikuwa katika mwendo kisa tu wao wanafanya mazoezi barabarani
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻1. Mkurya akiwa rafiki yako ni rafiki wa kweli. Mnachanjana damu. 2. Mwanamke wa Kikurya kama hakubahatika kuzaa basi mila inamruhusu kuoa msichana kwa mali yake na kumchagulia mwanamme atakayemzalisha huyu msichana aliyeolewa naye. Watoto wote watakaozaliwa wanakuwa watoto wa yule mama aliyoa na majina yote yataitwa kwa ukoo wake. 3. Mkurya ni mtu wa ahadi ya kweli. Mfano mkikibaliana utamsaidia kwenye kesi yake na kukubaliana kitu fulani na akakupa basi tekeleza ahadi mliyokubaliana vinginevyo yatakayokutokea usimlaumu. 4. Mkurya wakati wa uchaguzi hapendi rushwa kuwa akuchague. Akikupenda anakuchagua bila rushwa. Ndiyo mara nyingi majimbo ya Tarime muda mrefu yamekuwa na Wabunge wapinzani. 5. Vijana wa Kikurya ni wajasiri sana. Wale wanaotahiriwa hawaendi kutahiriwa mahospitalini. Unapigwa kisu umesimama bila kupepesa macho na bila kupiga yowe. Ukitahiriwa hospitalini vijana wenzako (rika) watakudharau sana.
Nikuongezee kidogo. Binti wa kikurya akifiwa na mume huwa ndoa yake "haifi". Kimila anachagua/anachaguliwa mwanaukoo wa kuisimamia nyumba yake na kuwajali yatima waliobaki. Huyu mjane halazimishwi kujamiana na huyo mwangalizi, ila anaendelea kujulikana kama ni mke wa marehemu fulani. Mara nyingi huyu mjane huwa yuko huria na maisha yake. Ukijichanga kutembea nae pengine kuzaa nae, huwa hao watoto wote wanachukua nasaba ya marehemu mume wake. Kama wale wenzao walioachwa na marehemu mume. Wewe uliyezaa nae kimchepuko unachulikuliwa kama dume lililopanda mitamba ya wengine kukidhi haja ya ngono kwa hiyo hao watoto hawarithi chochote chako na wala wewe hurithi chochote chao labda wakupe wenyewe ukiwa hai. Kiufupi Wakurya hawawezi kukuachia uvune/ujenge nasaba kutokana na uzinzi wako. Labda urejeshe mahari aliyotoa marehemu ili uozeshwe rasmi. Kwa sababu hii ni familia nyingi sana za jamii za Kikurya utasikia hawa wote ni kina "Wambura" lakini ni wao tuu ndio wanajua kiundani baba asilia wa fulani wao ni yulee (yule mpita njia) Hii ni tofauti sana na makabila mengi. Kuna makabila humu Bongo utakuta jamaa kazaa kijibinti kiharamu bila hata kumuoa mama mtu kisha kaingia mitini, halafu hiki kitoto kikija kukomaa eti kwenye harusi jamaa aliyekizaa anatafutwa kuja kukaa high table. Kama mama mtu aliolewa kirasmi na mkuria na yeye ndie alilea huyo binti kindly kaa mbali, unaweza kuibukia ICU ya jirani😅1. Mkurya akiwa rafiki yako ni rafiki wa kweli. Mnachanjana damu. 2. Mwanamke wa Kikurya kama hakubahatika kuzaa basi mila inamruhusu kuoa msichana kwa mali yake na kumchagulia mwanamme atakayemzalisha huyu msichana aliyeolewa naye. Watoto wote watakaozaliwa wanakuwa watoto wa yule mama aliyoa na majina yote yataitwa kwa ukoo wake. 3. Mkurya ni mtu wa ahadi ya kweli. Mfano mkikibaliana utamsaidia kwenye kesi yake na kukubaliana kitu fulani na akakupa basi tekeleza ahadi mliyokubaliana vinginevyo yatakayokutokea usimlaumu. 4. Mkurya wakati wa uchaguzi hapendi rushwa kuwa akuchague. Akikupenda anakuchagua bila rushwa. Ndiyo mara nyingi majimbo ya Tarime muda mrefu yamekuwa na Wabunge wapinzani. 5. Vijana wa Kikurya ni wajasiri sana. Wale wanaotahiriwa hawaendi kutahiriwa mahospitalini. Unapigwa kisu umesimama bila kupepesa macho na bila kupiga yowe. Ukitahiriwa hospitalini vijana wenzako (rika) watakudharau sana.
USINITAG KWENYE UCHAFU WAKO NA UTOTO,Sio mimi niliyekuita vile lakini