Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

Kuna mmoja hapo kwa hao ulio wataja kaanzisha uzi anasema et hajiskii vizuri wenzake wakimuita CHAPATI.. 😂😂😂😂😂😂😂

Huu hapa "" NACHUKUA SANA KUITWA CHAPATI HUMU JF""
Ni nani huyoooo ahahahh nipe link
 
KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮

1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.

2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.

3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.

4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.

5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.

6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
Umesahau kitu... Sisi ni kabila pekee Mwanamke wa rika lolote ambae hakubarikiwa kupata mtoto...anaweza kuoa mwanamke mwenzake (nyumba ntobhu) na atamgaramikia mahitaji mbali mbali kama nyumba ya kuishi(mji) chakula(hapa anaweza mfungulia biashara), kusomesha watoto watakaozaliwa na huyo mke...

Kitu kizuri ni kuwa Hampangii mwanamke aliemuoa mwanaume wa kulala nae! Anachoangalia mama muoaji ni ili mradi apate familia kubwa (ukoo mkubwa)
 
Back
Top Bottom