Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

cha ujinga wewe jamaa mbona na wewe unachafua wenzako humu.. kwani ni mimi niliye anzisha hilo jina
Sitaki kujua Nisha kuambia acha kunitag na kunifananisha na mtu yeyote,

Sihitaji ngoja niwasilishe pendekezo kwa wahusike unipe uthibitisho

Ulinnita chapati!! Naona unazidi kulikoleza sitaki mazoea ya kujuana sana
 
Wakurya wapo romantic
usitegemee romance kwa mwanamke mkurya.
hawana mambo hayo. sijui denda sijui nyonya uku au nyonya kule. iyo ni big no kwao.
mkikutana ww chomeka mb.oo mtombano uendelee. zero romance!. km mpo vitani vile.
baazi wana mkojo wa kutosha kama wahaya vile.
wanawake wa kikurya wana pulling ya hatari kunako 6*6. mwanaume lazma inabidi ushibe swsw, usipokaa sawa lazma upigwe nokouti ya hatari. aliskika mtu mmoja.
 
Wakurya ndiyo kabila linaloongoza kwa stress, gadhabu na makasiliko yasiyokuwa na kichwa wala miguu!
Mkurya unaweza kumtania kidogo tu, lakini akareact usivyotegemea...!
Ukabila upo. Ndo maana mmjazana majeshini huko. Pia vita vya wanchari na waryanchoka ni kielelezo tosha cha ukabila ndani ya jamii za kikurya!

Kuna mkurya mmoja alimuoa mtoto wa jirani yangu. Binti alikuwa na katoto kachanga pindi anaolewa, jamaa likawa linamtaka unyumba kinguvu hatimaye likamshona mimba binti wa watu mwanae akingali na miezi minne tu! Mtoto alidumaa akapitwa na mdogo wake na ameishi zaidi ya miaka3 bila kutambaa wala kutembea achilia mbali kuongea!

Mwanamke wa kikurya akichoka manyanyaso kwenye ndoa yake na kuamua kumove-on, ikitokea akaolewa na mme mwingine na kubarikiwa watoto, mme wa awali atakuja kuchukua hao watoto wote kimabavu na kuwachukulia kuwa ni mali yake!

Ikitokea mwanaumme wa kabila jingine akaoa binti wa kikurya, kama hana ngeu, mashemeji zake(kaka za binti) wataunda njama upewe kichapo wakuache na ngeu.
 
Unajua kwanini wakurya wamejazana majeshini ambapo panahitaji matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili?

Hao wamekuwa raised in violence society .
Hii inaanzia zama za ukoloni. Wakoloni waliamini ktk vigezo tofauti vya kuandikisha askari. Hii ilianzia muonekano, ujasiri na ku-balance kati ya kule walikopeleka cash crops na kule walipotunza kama labor reserves. Kwenye muonekano na ujasiri wakoloni walitumia zaidi vijana warefu waliotoka jamii za kijasiri. Infact hata kwenye vita ya Kagera jamii ya Kikurya na Mkoa wa Mara ndio iliyojitokeza zaidi kujiandikisha kwenda kuzipiga Uganda

Screenshot_20250817_111419_Google.jpg
 
KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮

1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.

2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.

3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.

4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.

5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.

6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
acha mambo yako wewe.. waryanchoka na wrya nini sijui si walikuwa wanauana km kuku si ukabila huo? na bado hawaelewani mpaka kesho
 
Ni mtu pekee mbinafsi, asie na utu, mmkabila na dharau ndio anayeweza kuongea point kama hii.

Lakini sishangai sisi waafrika kuwaza hivi maana dr kwa wazungu inamvukisha kiwango cha ujinga ila kwa bongo dr inazidisha ujinga wake
Lakini mbona alichoongea kina ukweli na kipo wazi tangu enzi ya Nyerere wao ndio wanaongoza kwa idadi kubwa majeshini.
Ila unambishia na kumshambulia jamaa inaonekana kama mnafahamiana na mna kabifu fulani
 
Back
Top Bottom