Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

Kuwa na vyanzo vya kuzalisha umeme ni jambo moja na kuwa na umeme kwa wananchi wako ni jambo lingine kabisa.
Mfano Tanzania kuna makaa ya mawe, gesi, maporomoko na hata Uranium ila umeme bado ni wa shida, Raia wengi tu bado hawana umeme au wanapata umeme kwa matatizo na hata hakuna Ufaransa. Kenya wanategemea joto ardhi zaidi katika bonde la ufa na inawapatia raia wake wengi umeme kuliko nchi nyingi zenye Uranium, mafuta na gesi.

Ukiwa huna akili utawasingiza watu wengine matatizo yako mengi, hao viongozi wa Niger ukifuatilia utakuta hata hayo mapato ya Uranium wanaishia kununulia mavietee, kutumbua dubai na kuficha katika benki za nje. Dikteta Sani Abacha wa Nigeria wakati anafariki dunia alikuwa ameficha zaidi Trillion 1 katika akaunti zake binafsi za benki Ulaya na US.
 
Mkuu mada tamu mno na umeiweka fupi sana.

Kimsingi naona wazi new world multipolar order imeshaanza kutekelezwa kabla haijapangwa vizuri.

Najiuliza hatma ya BRICKS ni ipi baada ua Putin kushindwa kushiriki kikao kule SA
 
Kwa maneno mengine naweza kusema bokoharam ni mali ya USA?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Marekani hana Black Water Niger, ana base yenye wanajeshi rasmi wa serikali kutokana na mikataba rasmi waliyoingia kulipa mafunzo jeshi la Niger na kupambana na magaidi. Airbase 201 na Airbase 101 ni vikosi rasmi vya jeshi la Marekani nchini Niger.
 
Fafanua huko kuumeza au kuutema mfupa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Labda kuchochea ghasia zaidi kwa kueneza propaganda ila hilo la kufinance serikali na waasi at the same time kidogo lina ukakasi.
 
Jiingeze boss. Marekani haitoi silaha sawa kwa pande zote.

Mbinu nyingine ni mafunzo ya kijeshi yenye lengo la kushambulia maeneo ambayo serikali itawawea vigumu kushambulia. Kwa mfano bokoharam walipoteka wale wasichana, serikali haiwezi kushambulia kwani itawaangamiza raia wasio na hatia.

Ndani ya serikali kuna watu wanshikwa masikio na USA kiasi cha kuwa wazito kufanya maamuzi. Mfano rais anapopanga kushambulia, yeye anaingilia kwa kigezo cha kulinda raia wasio na hatia. Serikali lazima iwe mpole tu.

Hawa marais wa Afrika baadhi yao ni mbwa fulani ambao hawana meno. Hupewa maagizo ya kufuata hata kama nchi iko pabaya. Wakijaribu kukaidi, watatengenezewa zengwe kugombanishwa na wananchi au kuuuawa kabisa.

Mambo ni mengi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mleta uzi ni vyema ukafahamu GDP ya Niger, Mali na Burkinafaso kwa pamoja ni ndogo kuliko hata ya Tanzania, Urusi pamoja na kuwa sio smart sana kwenye masuala ya Uchumi haiwezi kuhangaika na kuzungusha mizigo kwa reli, majini-caspian sea, reli-Iran, majini-Arabian sea, reli/barabara- Djibouti/Ethiopia, Sudan au Egypt kuwapelekea wachovu wa Sahel. Huo mzigo utafika umechoka sana na hata masikini huko hawataweza kununua hiyo ngano kwa bei itakayowafikia nayo.
Itoshe kusema wewe ni maamuma wa global logistics na supply chain.
 
Unaziamini sana hizo takwimu zinamficha mmarekani kuhusu hayo mafuta?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nimekubali kutokukubaliana

Binafsi hii ishu ya waasi naona ina propaganda nyingi sana ukizingatia waasi wenyewe ni raia wa nchi husika.
 
Putin haiwezi kuikomboa Africa, anachotafuta ni washirika tu wa kiuchumi na kuwaparua West. Hakuna teknolojia, mitaji au namna bora ya kufanya mambo ya maana Africa itapata kutoka Urusi. Hata mkutano wa juzi wa Putin na watawala wa Africa huko Urusi watawala wa Africa waliishia kwenda kuangalia maonyesho ya silaha zinazozalishwa na Urusi badala ya teknolojia muhimu za uzalishaji viwandani.
Africa itakachoendelea kupata kwa wingi kutoka Urusi ni AK47, Ngano na mbolea.
 
Mimi navyoona wewe ndiyo unashida ya uelewa kuliko mwalimu, ama kwakua ni mfaidika wa hao west au kwakua upo obsessed kama limbukeni wengine wa west...Sasa mtu aliyefungwa akili kama hivyo sidhani kama hata mtakaa mfikoe uelewwa wa pamoja
 
Hizo AK47 nadhani ni bora zaidi kuliko LBTQI za west
 
Huyo sio kwamba hajui kitu ila kabaki kwenye ujinga wa udini, anaamini kwamba BOKOHARAM ni waislam ambao wanafanya vurugu pasipo kujishuhhulisha kichwa chake[emoji23]
 
Taarifa rasmi ya WB ni kwamba HIPC na Multilateral Debt Relief Initiative (MDRI) zimewezesha kusamehewa kwa deni la kiasi cha $100 billions kwa jumla ya mataifa 37, 31 yakiwa ya Africa.
 
Shuleni ulikwenda kusomea ujinga wewe jibwa
 
Hapa hamnitoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…