Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

Plant ya ku refine mapipa 650,000 kwa siku sio sawa na mashine ya alizeti, Refinery kubwa zaidi duniani iko India inazalisha mapipa milioni 1.2 kwa siku.
Hata ingejengwa Leo na hao hawana power ya ku decide Kwa mambo Yao makuu including how the money should be spent, itakuwa ni geresha tu...Usifanye watu kama vile hawana akili
 
Mbona Botswana hakuna magaidi??
Kwakua hakuna tishio, wamekaa kwakutulia huku wakitumiwa (Kuna Army base ya America hapo) kuwadhibiti SA na neighbouring country kama Zimbabwe ambayo ni tishio Kwa west
 
Kwahiyo Africa tuish kwa kumtegemea mtu mmoja ambae n Putin vip akifa shithole countries hiv hatuwez shikamana kama Africa
Africa inaitaji kaka design ya Russia ili aweze kutuongoza tukiwa karibu yake why? Tukisema tuachwe alone mwaka autofika tutarudi kule kule bado hatuna technology, Intelligence na viwanda vya kutengeneza malighafi zinazopatikana apa kwetu mfano ni mzuri ni NIGERIA wanachimba mafuta na kampuni zinazochimba ayo mafuta ni za uko uko WEST then wanapeleka mapipa ghafi kwenda kusafishiwa kwao then wanayarudisha NIGERIA kuja kuwauzia wao wenyewe na tena tena wanawauzia yale ya LOW QUALITY kwa wingi siyo grade 1
 
Kwakua hakuna tishio, wamekaa kwakutulia huku wakitumiwa (Kuna Army base ya America hapo) kuwadhibiti SA na neighbouring country kama Zimbabwe ambayo ni tishio Kwa west
Mbona hakuna ugaidi Angola na Algeria??
 
Unajua NIGERIA inasemekana ndio nchi yenye uchumi mkubwa AFRICA? ngoja nikuelezee kidogo How this BIG BOYS DO(WEST) Nigeria bila kuwa ma migogoro ya ndani kwa ndani mpaka muda huu ingekuwa mbali sana kiuchumi kuzipita karibu nchi nyingi za ulaya..USA na washirika wake wanajua kabisa kitendo cha kukuacha kuwa na uchumi mkubwa ni kuwa threat kwao kwakuwa utaweza kujitegemea almost kwa kila kitu means utakuwa na power ya kufanya mambo yako bila wao kuitajika 1st watapoteza ushawishi kwako 2nd utakuwa kama darasa kwa wengine kufanya kama ulivyofanya wao na wao kupoteza makoloni yao(neo colonialism) na kingine ni wao kukosa cheap energy au resources kutoka kwako ndio mahana mafuta yanachimbwa NIGERIA yanaenda kusafishiwa USA or INDIA then unakuja kuuziwa tena wewe mwenyewe why wasijenge Refinery apo kwako au kukuacha ujenge Refinery apo kwako? Kulikuwa na tetesi kuwa dangote anataka kujenga Refinery apo NIGERIA ikaja kugundulika kuwa ni siasa tu na wala hakuna kitu kama icho...niitimishe Boko haram wapo pale ili nchi ikose utulivu na wewe usiweze kupiga hatua zaidi na kuweza kutumia resources zako vizuri uku wao wakinufaika na mikataba ya ulinzi na misaada wanayokupa.
Najaribu kuunganisha hili na kilichomkuta Gaddafi mpaka kusambaratika kwa Libya!
 
Africa inaitaji kaka design ya Russia ili aweze kutuongoza tukiwa karibu yake why? Tukisema tuachwe alone mwaka autofika tutarudi kule kule bado hatuna technology, Intelligence na viwanda vya kutengeneza malighafi zinazopatikana apa kwetu mfano ni mzuri ni NIGERIA wanachimba mafuta na kampuni zinazochimba ayo mafuta ni za uko uko WEST then wanapeleka mapipa ghafi kwenda kusafishiwa kwao then wanayarudisha NIGERIA kuja kuwauzia wao wenyewe na tena tena wanawauzia yale ya LOW QUALITY kwa wingi siyo grade 1
ExxonMobil na Shell wamekuwa wakichimba gas Urusi kwa muda tu.
 
Plant ya ku refine mapipa 650,000 kwa siku sio sawa na mashine ya alizeti, Refinery kubwa zaidi duniani iko India inazalisha mapipa milioni 1.2 kwa siku.
Kwa maelezo ya wa serikali iyo Refinery itaweza kupunguza utegemezi wa kupeleka crude Oil nje kwenda kusafishwa kwa 12.8% tu lakini asilimia zilizobaki bado zitaenda Kule kule walipokuwa wanapelekewa kwenda kusafisha
 
Africa inaitaji kaka design ya Russia ili aweze kutuongoza tukiwa karibu yake why? Tukisema tuachwe alone mwaka autofika tutarudi kule kule bado hatuna technology, Intelligence na viwanda vya kutengeneza malighafi zinazopatikana apa kwetu mfano ni mzuri ni NIGERIA wanachimba mafuta na kampuni zinazochimba ayo mafuta ni za uko uko WEST then wanapeleka mapipa ghafi kwenda kusafishiwa kwao then wanayarudisha NIGERIA kuja kuwauzia wao wenyewe na tena tena wanawauzia yale ya LOW QUALITY kwa wingi siyo grade 1
Mafuta yaliyosafishwa Nigeria huwa inachukua kutoka India, Ubelgiji, Netherlands na Norway sio hata Marekani huko unapopigia kelele.
 
Kwa maelezo ya wa serikali iyo Refinery itaweza kupunguza utegemezi wa kupeleka crude Oil nje kwenda kusafishwa kwa 12.8% tu lakini asilimia zilizobaki bado zitaenda Kule kule walipokuwa wanapelekewa kwenda kusafisha
Hujui hesabu
 
Mafuta yaliyosafishwa Nigeria huwa inachukua kutoka India, Ubelgiji, Netherlands na Norway sio hata Marekani huko unapopigia kelele.
USA akwepeki kwenye dili lolote linalohusu mafuta iwe kwa direct au indirect na ndio mahana mafuta yenyewe yanaitwa PETRODOLLAR
 
Nigeria anapigania Dili lake la kutaka ujenzi wa Bomba la gas kutoka Nigeria ni lazima apite Niger kuelekea ulaya.
Pia huwezi fika Nigeria tokea popote dunia shortcut ni lazima upite anga la Niger.
Nigeria ni muathirika mkubwa sana wa mapinduzi ya Niger Kama alivyo Ufaransa.
 
Si ufaransa,Wala ECOWAS wataweza ivamia Nigeria kijeshi, kufanya hivyo ni kuhatarisha uhai wa raisi mateka.
Wanapinduzi raisi waliyemteka ndie mtaji wao,wamesema wakivamiwa watamuua.
Ingekuwa anaishi uhamisho wangeshaivamia kijeshi kitambo ili kumrejesha madarakani.
 
Refinery unazozisemea wewe anazomiliki dangote kwa uwezo na ubora ni kama izi machine zetu za kukamulia mafuta ya alizeti ivi unajua kuwa na sisi tulishawai kuwa na Refinery yetu kama iyo ya Dangote pale bandarini? Ngoja nitulie vizuri nikupe darasa naona bado unaitaji kuelimishwa zaidi.
Uwa ninawaonea huruma sana waumini wenu na ni rahisi zaidi kwa watu kama nyie kupata wafuasi kwasababu wetu wengi upenda kusikia uongo mtamu.

Undoubtedly mtaani kwako/ vijiweni uwa unawapigisha hizi kanjanja na wana kukubali kinoma kumbe bure kabisa.

LEKKI TRADE ZONE, LEKKI AREAS OF LAGOS REFINERY(DANGOTE PETROL REFINERY) ndiyo biggest kampun in Africa huku ikifuatiwa na South Africa.
Nigeria in Refinery mafuta yake yenyewe na kiwanda hicho hakimilikiwi na mtu wa nje bali mnaijeria mwenyewe.
Sasa wewe mwalimu mzima umeshindwa jua vitu vidogo hivi sisi wanafunzi wako unatufunza nini?.
Bure kabisa
 
Unajua icho kiwanda unachosema cha dangote kimetumia kiasi gani cha pesa? Wanasiasa wenyewe wa NIGERIA wansema kuwa kilichoaidiwa na kilichofanyika ni tofauti dangote na serikali ya NIGERIA walisema dangote anajenga Refinery yenye thamani ya dola billion 20 na kitaweza kuchuja zaidi ya mapipa 1 million ya crude oil per day lakini imekuwa kinyume chake japo akijamalizika bado lakini uwezo halisi ni 12.8% tu ya kuchuja mapipa yote ya crude oil yanayochimbwa NIGERIA kuwa bado ni yale yale zaidi ya 70% bado zitapelekwa nje kwenda kuchujwa na kuja kuuziwa tena.
 
Hivi katika ualimu kuna kozi particular mnafundishwa ya kushift magori ama hii unayoionyesha hapa ni Karama yako binafsi.
Unanichanganya sana.
KUTOKA:-
• nigeria Hainan Refinery,inapeleka mafuta yake nje.
•nigeria ina Refineries ila ni kama hizi za mafuta ya alizeti.
• unajua thamani na mtoa pesa ya kujenga hiyo Refinery?.
• Refinery ya Dangote uwezo wake ni 12%.

Mpaka hapa umeshanikatisha tamaa kujadiliana na wewe.

Ulianza kwa kusema Nigeria hakuna oil Refineries,mimi nikakupipinga kwa kusema "mbali na Nigeria kuwa Refineries zaidi ya moja Nigeria ndiyo nchi ya Kwanza Africa kuwa Refinery kubwa Africa nzima".

Badala ya ku- admit kuwa ulikosea ulipodema Nigeria hakuna Refinery we umendelea kunizalishia irrelevant questions.

Fanya hivi,Nigeria hakuna Refinery.
Ahsante mwalimu.
 
[emoji1184] Nigeria inflation rises to 18-year high in July as reform effects linger

Nigeria's annual inflation rose to its highest level in nearly two decades in July at 24.08% against 22.79% in June, worsening a cost-of-living crisis in Nigeria as President Bola Tinubu's reforms continue to take effect.

Inflation in Nigeria has been in double digits since 2016, eroding savings and incomes and prompting the central bank to hike interest rates to their highest level in nearly two decades.

Food inflation, which accounts for the bulk of Nigeria's inflation basket, rose to 26.98% in July from 25.25% in June.

"The rise in food inflation on a year-on-year basis was caused by increases in prices of oil and fat, bread and cereals, fish, potatoes, yam and other tubers, fruits, meat, vegetable, milk, cheese, and eggs," the statistics agency said.

#Nigeria

@africaintel
 
Back
Top Bottom