Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Unawajulisha kwa kiingeleza au kiswahili??
 
Mi naombeni njia za kuwatimua tuu,wamehamia kwangu na wamezaliana mnoo,kila siku wanadondosha ceilling board za kuzunguka nyumba,nawatwanga manati ila ndio kama nimewaongezea kasi ya kuzaliana...
Watakuwa wa yle bibi aliyesahau kuwataarifu kuhusu msiba wa mwanae mkuu....[emoji16]
 
Nacho fahamu kuhusu hao jamaa kama umewafuga mwanga hatoboi kuingia ndani hadi awaue. ko ni walinzi wazuri sana
h
 
Tanga
[/QUOTE]..kumbe Madam S wewe niwaTanga upo sehem nikutembelee maana Nina Arosto ya ile hadithi yetu pendwa ya "Mzimu Unaotabasamu" akili yangu inaniambia wewe utakua nayo mwanzo mwisho...
Mimi nipo Tanga Town Tangasisi kama unaelekea Pangani
 
Ahaaa ila mimi sikuwaambia na hawakusepa.

 
Kuna waliohamia kwangu na wametaga na kutotoa. Hata niwafukuze hawaondoki. Wana mwaka na ushee. Sijawajengea kibanda. Kuna kakibanda kalikuwa ka kasuku nimetega ila hawaingii huko bali wanalala juu kwenye lenta hivi. Ila ninawapenda sana.
 
Wengine hutafta mabanda ya karibu wakiona wenzao ndio wanaitwa mateka kama una moyo mdogo waweza usiwafuge hawasemwi vibaya kama kuku au mfugo mwengine wanapenda kupeana romance s mchezo
umenikumbusha mbali...mateka. Alaf kuna mafundi wa kuteka. Ni kukaa karib na kaka zako ama?kwenye jamii yetu nayoishi haya ya njiwa ni michezo ya vijana wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…