Mchinje mmoja mbele ya wenzake.Mi naombeni njia za kuwatimua tuu,wamehamia kwangu na wamezaliana mnoo,kila siku wanadondosha ceilling board za kuzunguka nyumba,nawatwanga manati ila ndio kama nimewaongezea kasi ya kuzaliana...
Yes mkuuKuna swali lako nilikuwa nalitafutia muda.
Poa poa mkuu[emoji120][emoji120]Tayari.
Nakucheki.
dunh noma sana kwa hiyo njiwa wanadeka kuliko wanawake wajawazito [emoji23][emoji23]
*nasikia hata ukinyoa kiduku wanaondoka, ukivaa jezi ya arsenal ndo wanabeba na kibanda kabisa
Mkuu hebu tuletee na masharti ya kufuga majini
Nyongeza:
Hawapendi kusikia sauti za mahaba/za kubanjuana toka kwa binadamu.
Inashauriwa kuweka banda lao mbali na vyumba vya watu wazima ambao daily wanagegedana tena kavukavu.
Usipofanya hivyo njiwa watatomb@n@ sana na kushindwa kupata muda wa kula na hatimaye kufa wote kwa njaa!!
Huu si uganga huu.. Hao sio njiwa aiseSasa unawajulishaje msiba kama upo? Yaani unawasiliana nao kivipi?
Unawafungia kwenye nanda, maana hawa wanaowaongelea inaonekana sio wa kukaa kwenye banda ndo maana wanaandoka wanapojisikiaPorojo tupu. Mie nafuga njiwa tena wengi sana, hawa wa kawaida, wana rangi na patterns mbali mbali na wengine ni weupe kabisa. Nilianza na wanne tu baada ya mwaka wakawa zaidi ya 30, sasa hivi wanazidi 300, siwezi kuwahesabu.
Wanaishi juu ya banda kubwa la kuku, walivyo kuwa wanazidi nikawawekea dari za mbao za marine ambazo nimeziongezea coat ya waterproof hardner.
Kitoweo kitamu sana. Siku nikitamani huwa nachinja 20 mpaka 30, Na nimegawa wengi sana na nimeuza wengi sana.
Wao mradi chakula kwa wingi (Mtama, choroko, kundi) na maji safi ya kutosha kwenye mabeseni, wanapenda sana kuoga kwenye maji.
Hakikisha wanapoishi hakuna access ya paka, panya na nyoka.
Mengine yote ni myths.
Aisee njiwa itakuwa asili yao Tanga.
Banda wanaingia na kutoka wapendavyo.Unawafungia kwenye nanda, maana hawa wanaowaongelea inaonekana sio wa kukaa kwenye banda ndo maana wanaandoka wanapojisikia