Yajue masuala mbalimbali kuhusu Biashara ya kuuza Juisi ya matunda ya aina mbalimbali


Duh!.... Asante sana ndugu yangu, kiukweli am getting luck with this. Kwahiyo, nawezapata wapi hizo kwa bei hiyo, na hiyo ya 50,000 inaitwaje? Umenitia moyo sana mkuu, nakushukuru sana. Kama una picha yake mkuu wawezaniwekea hapa nizione muonekano wake ili hata napoenda dukani inakuwa rahisi kwa sababu nitakuwa tayari nazifahamu kichwani. Shukrani nyingi
 

Ndugu unaongelea dispenser kwa lk 200000 !!! we ulinunua wapi? tuelekeze hata mi ntanunua nyingine 3.
sababu mimi nimeshawahi nunua tatu nilitembea madukani sikuwahi pata chini ya laki 6. na ya kusagia matunda bila maji ninazo nilinunua chini ya 50 lakini sio Dar
 
Last edited by a moderator:
Bill, sikuwezi unanunua dispenser kwa matumizi ya nyumbani. wow nimekupenda bure. tuandikie hilo duka ulilonunua kwa laki 2.
 

dispenser la laki 2 sijui labda mtumbani!!! hiyo anayozungumzia nadhani ni juicer, ni mashine ya kukamulia matunda (siyo kusaga, inakamua), hizo bei rahisi, amazon mpaka elfu 50 unapata, ukijumlisha na nauli inafika kwa kama laki na 20 hivi!
 
Hii kweli ni Elimu , japokuwa nigependa kuona hizo machine ulizonazo, so naomba uweke picha za machine ulizonazo
 
mimi mwenyewe nimeshangaa ndio maana nikaomba atueleueze aliponunua ,au anaongelea juice mixer pia.
 

msamehe bure mkuu, malumbano si mazuri. Msilumbane, tuelimishane wandugu.
 

Hata hii nimeipenda mkuu, asante kwa kunielimisha pia, so hii ya kukamua matunda ndo ambayo haihitaji umeme ama zipo nyingine? Nashukuru sana ndugu
 

Anataka Kamulio/blender, sio dispenser. Hiyo bei ya laki 2 na ile ya elfu 50 ni makamulio ya juice.
 
Bill, sikuwezi unanunua dispenser kwa matumizi ya nyumbani. wow nimekupenda bure. tuandikie hilo duka ulilonunua kwa laki 2.

Ina maana siku hizi dispenser inakamua matunda kwa ajili ya juice? Acha uzembe wa kuwaza.
 

Bahati mbaya nipo safari Wise Sister, nilikuwa na namba ya wauzaji nimeipoteza ila nikirudi nitazipata, ukinicheck (ni-PM) kuanzia tarehe 7 July ninaweza kuwa nazo.

Hizi ni mashine za kukamulia juice (Juicer) na sio dispenser. Ninayo ya kukamua kwa mkono (manually) ambayo inatoa juice nzuri sana ya Nanasi na machungwa na inachuja yenyewe. Hii bei yake ni elfu 45 mpaka 50. Pia ile nyingine ya umeme bei yake ni kati ya 180k to 200k. Inakamua juice ndani ya dk 10 unapata lita kadhaa za juice isiyokuwa diluted with water.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana siku hizi dispenser inakamua matunda kwa ajili ya juice? Acha uzembe wa kuwaza.

Usiniite mzembe wa kuwaza msifikiri watu wote humu ni watoto shika adabu yako. Umeona picha aliyoonyesha mtoa mada? si ameonyesha picha ya dispenser au?
 
Wise Sister, japo sio brand yenyewe halisi niliyo nayo lakini juicer ya laki 200,000 ni kama hii.





Na ile nyingine ya elfu 50 ipo exactly the same kama hiyo hapo chini.

 
Shostiee fika hapa kariakoo utapata juicers na dispencers na extracors za juice aina nyingi bei ya kushindana. bishara hiyo ni nzurilakini uwepo mwenyewe, laa sivyo utaibiwa sana !
 

Kama uko Dar es Salaam jaribu kutembelea siku moja Chuo cha D.I.T pale uone, kuna jamaaa ana kamtaji seems ni kadogo sana ila anapiga hela ya ajabu sana kwa kuuza "FRUITS" yaani ile mixture ya matunda yaliyopondwa pondwa na kuchanganywa kwa pamoja bila kuyasaga.

Jamaa anapiga sana pesa maana ubunifu wake ni mzuri na watu wananunua ile kitu for luxury tu na out of curiosity lakini ukishanunua huwezi kuacha maana ni matunda fresh na ameyachanganya kwa ubunifu mzuri.

Ukipata sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi ukawa unauza hio kitu unatoka maana seems watu wanapenda sana hii "fruit" kuliko matunda magumu au juisi iliyosagwa, any way ni idea tu unaweza kuifanyia kazi kabla ya kuifanyia impelementation
 

Bill, nashukuru sana ndugu yangu, nitakutafuta ukirudi from there iyo tar 7. Safi mkuu, nitajaribu kuangalia maduka ya hapa mjini hiyo juicer na ntaulizia pia hizo zingine. Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…