chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Umeongea kweli mkuu..it is the problem of.bongo people kuigana igana tu hakuna mind challenging, inakera sana..matokeo yake hakuna competition ..unakuta mtaa mzima kuna duka la kuuza chupi sababu waliona aliyeanza amefanya hivyo, basi wangefanya ubunifuTatizo LA wabongo ni kuigana igana... As I speak, kuna watu kama saba hivi wameanzisha hii biashara ya juice.. Same idea, same branding same everything... And here you are, trying to do the same shit..
Tafuta idea yako Mzee baba, something different from the usual..
Well, I'll be opening a rabbit grill in town soon, fuga sungura uje kuniuzia..
Mkuu hapana, mm naongelea juicer nilinua syrian exhibition almost 5 yrs ago.Ndugu unaongelea dispenser kwa lk 200000 !!! we ulinunua wapi? tuelekeze hata mi ntanunua nyingine 3.
sababu mimi nimeshawahi nunua tatu nilitembea madukani sikuwahi pata chini ya laki 6. na ya kusagia matunda bila maji ninazo nilinunua chini ya 50 lakini sio Dar
Duh!.... Asante sana ndugu yangu, kiukweli am getting luck with this. Kwahiyo, nawezapata wapi hizo kwa bei hiyo, na hiyo ya 50,000 inaitwaje? Umenitia moyo sana mkuu, nakushukuru sana. Kama una picha yake mkuu wawezaniwekea hapa nizione muonekano wake ili hata napoenda dukani inakuwa rahisi kwa sababu nitakuwa tayari nazifahamu kichwani. Shukrani nyingi