Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Unakuta kutwa mzee katulia tu na msuliWatu wenye akili wanaojua kutafuta hela bila kufanya kazi za nguvu. Watu wengi wa Tanga si masikini wa kutupwa compare na sehemu nyengine.
Duh! Eti umesema wale wazee wa nini.............Ikija Dodoma hii tumekwisha maana hao wazee wa panua paja mti waja mambo ya kushangaza
"Mama zakia panua paja mti waja"Duh! Eti umesema wale wazee wa nini.............
Mhhh! Kwa standard ya Tanga, ni shamba la ukubwa gani ambalo mtu anaweza kujigamba kwamba ana bonge la shamba i.e. ni lenye eneo na idadi gani ya minazi?Unakuta kutwa mzee katulia tu na msuli
Kumbe ana bonge la shamba la minazi
Dah! Hiyo kali aisee."Mama zakia panua paja mti waja"
Kiongozi anachosema ni 100% kabisa maana niliendaga kwa mda kule kama miaka 2 🙌Kwa maana hiyo hizi bado ni tetesi sio mambo ambayo umeyashuhudia mwenyewe mleta mada.
Linaweza lisiwe kubwa sana yaani hekari nyingi lakini linamtoshaMhhh! Kwa standard ya Tanga, ni shamba la ukubwa gani ambalo mtu anaweza kujigamba kwamba ana bonge la shamba i.e. ni lenye eneo na idadi gani ya minazi?
Pwani ila Tanga inachangia tu. Tanga imehodhi umaarufu.Linaweza lisiwe kubwa sana yaani hekari nyingi lakini linamtosha
Kwani Nazi kwa kiazi kikubwa zinatoka mkoa gani
Mnazi ambao ni wa asili hii yetu ambayo hata haizai sana inatoa Nazi 70-120 kwa mwaka, heka moja kama minazi 140, hizo ni Nazi 10,000 mpaka 15,000, hata kama unauza bei ya Chini kama 500 inaweza fika 5M ama zaidi.Mhhh! Kwa standard ya Tanga, ni shamba la ukubwa gani ambalo mtu anaweza kujigamba kwamba ana bonge la shamba i.e. ni lenye eneo na idadi gani ya minazi?
Ulichokiandika ni ukweli mtupu 100%.1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11- Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.
Ongeza nyingine ✍️
Nanukuu: "Mnazi ambao ni wa asili hii yetu ambayo hata haizai sana inatoa Nazi 70-120 kwa mwaka, heka moja kama minazi 140, hizo ni Nazi 10,000 mpaka 15,000, hata kama unauza bei ya Chini kama 500 inaweza fika 5M ama zaidi." Yan mtoto anazaliwa anakua hadi aweze kuingia std 1 ndipo unaanza kupata mazao ya shamba lako.Mnazi ambao ni wa asili hii yetu ambayo hata haizai sana inatoa Nazi 70-120 kwa mwaka, heka moja kama minazi 140, hizo ni Nazi 10,000 mpaka 15,000, hata kama unauza bei ya Chini kama 500 inaweza fika 5M ama zaidi.
Tanga mjini imezungukwa na Muheza, mkinga na pangani fukwe ya Bahari ya hindi hadi unakuja kutokea bagamoyo kuna mashamba ya kutosha.
Ubaya wa minazi return yake inachukua muda mrefu, kupanda mti miaka 7 unakaa tu kunahitaji moyo, ila ukianza kuvuna unakula tu good time.
Terrible life ndio ipi hiyo,usipoangalia ndio mkoa unaaongoza kwa wazee kuishi muda mrefu...21-ni jiji lenye jamii ya watu wavivu sana uzeeni wanakuja kuishi terrible life
Niko tanga naelekea nachosena majority ya wazee wanaishi terriblyTerrible life ndio ipi hiyo,usipoangalia ndio mkoa unaaongoza kwa wazee kuishi muda mrefu...
Low senescence rate and insignificant rate of tear and wear kwa sababu hawafanyi kazi za suluba. Nakubali Nikosolewe.Terrible life ndio ipi hiyo,usipoangalia ndio mkoa unaaongoza kwa wazee kuishi muda mrefu...
Namba 16 imenifurahisha yaani daladala inamfata abiria
Nanukuu: "Mnazi ambao ni wa asili hii yetu ambayo hata haizai sana inatoa Nazi 70-120 kwa mwaka, heka moja kama minazi 140, hizo ni Nazi 10,000 mpaka 15,000, hata kama unauza bei ya Chini kama 500 inaweza fika 5M ama zaidi." Yan mtoto anazaliwa anakua hadi aweze kuingia std 1 ndipo unaanza kupata mazao ya shamba lako.
Vp gharama nyingine inakuwaje e.g. Mkwezi, Mfuaji, Usafirishaji na Post-harvest losses?
Nashukuru ila kwa bahati mbaya huku kwetu umasaini kilimo cha minazi tunakisikiaga tu - Hakipo.Kwa wewe unaeanza yes, ila mashamba ya Nazi mostly watu wananunua ama wanarithi. Na unapanda minazi mipya wakati minazi ya zamani ipo, so ukishafika level ya kuvuna haina shida tena.
Mkwezi, ufuaji, usafirishaji ni gharama ndogo, 5M ni at minimum kabisa nimepigia, even ukitoa gharama zote hizo kuna probability kubwa bado ikawa ni 5M+, heka moja wakwezi wawili tu wanatosha.
Ukiwa uliza wenyewe wenye Nazi ni hadi 2M wanapata kwa mvuno Na kwa mwaka ni mara 3 ama zaidi wanavuna, so tuna rudi pale pale.
makaveli10 anazijua zaidi atakuja kukupa darasa
Mnazi uliokomaq vizuri, unaweza kuvuna kila baada ya miezi mi3 we unavuna zile kavu kabisa, zilizokomaa vizuri saaana(kavu, hii mara nyingi ukiifua huwa na rangi kama ya kahawia isiyokoza au tuite brown ) unaacha zile ambazo hazijakomaa vizuri(mkwezi mzuri kule juu anajua hii imekomaa(kavu) na hii bado)Kwa wewe unaeanza yes, ila mashamba ya Nazi mostly watu wananunua ama wanarithi. Na unapanda minazi mipya wakati minazi ya zamani ipo, so ukishafika level ya kuvuna haina shida tena.
Mkwezi, ufuaji, usafirishaji ni gharama ndogo, 5M ni at minimum kabisa nimepigia, even ukitoa gharama zote hizo kuna probability kubwa bado ikawa ni 5M+, heka moja wakwezi wawili tu wanatosha.
Ukiwa uliza wenyewe wenye Nazi ni hadi 2M wanapata kwa mvuno Na kwa mwaka ni mara 3 ama zaidi wanavuna, so tuna rudi pale pale.
makaveli10 anazijua zaidi atakuja kukupa darasa