Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

Hiyo ni kweli kabisa nilishuhudia ila sio kumfata, ilimuona anatoka kwenye mlango wake akiwa mbali kabisa akasimamisha halafu anakuja taratibu, ikaizimwa kabisa kumsubiri siku ile nilishangaa sana kuna mama akaniambia hii ndo Tanga
Fanya ukanitembezepo
 
Mnazi uliokomaq vizuri, unaweza kuvuna kila baada ya miezi mi3 we unavuna zile kavu kabisa, zilizokomaa vizuri saaana(kavu, hii mara nyingi ukiifua huwa na rangi kama ya kahawia isiyokoza au tuite brown ) unaacha zile ambazo hazijakomaa vizuri(mkwezi mzuri kule juu anajua hii imekomaa(kavu) na hii bado)
Hivyo kwa mwak mnazi unaweza kuuvuna mara 3 hadi 4.

Kwangu mnazi ambao niliwahi kushusha nazi nyingi zaidi kwa mpigo zilikuwa 94(yalikuwa ni makole ma3), mnazi huu nilikuja kuukata kinyooonge sababu hakukuwa na namna. Minazi mingine unaweza kuvuna nazi 30+ 40+ na kuendelea mpaka 70 kama mnazi hausumbuliwi(kuvunwa hovyo bila mpangilio) ama kuchumwa sana madafu, ama wezi kuipitia pitia, wezi ni chamgamoto, unaweza jikuta unaambulia nazi 2 kwa mnazi au 0 kabisa..

Kuhusu mkwezi, wakwezi wengi huwa wanachukua nazi 2 kwa kila mnazi au gharama ya nazi 2 kwa bei ya nazi sehemu husika, kama nazi ni 500 moja, basi utamlipa buku kwa kigongo(mnazi).
makaveli10 uko Tanga mkuu.?
 
Namba 16 imenifurahisha yaani daladala inamfata abiria
Hii ipo kwenye miji yote ukiondoa haya majiji makubwa kama dar moro chuga mwz. mikoa mingi daladala inasimama na hata kukufata abiria hukohuko uliko
 
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11- Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.

Ongeza nyingine ✍️
Majini ni wengi kuliko watu
 
Karibu nakuja kutembelea Tanga Japo Ya haya yote hamjachangamkia Fursa Ya SGR...

Ngoja tutulie tutangulize Band na blueBand kwa ajili Ya ulizi Shirikishi wa SGR

View: https://youtu.be/0t8OYCMXr_I?si=Niy-qxDV97C-HkvK
 
Hongereni wa Tanga kwa kuwa Watanzania

Chai
 
Back
Top Bottom