Yajuwe yaliyodhaniwa hayawezekani kabla ya Oct 7 Gaza

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mengi hapa yalidhaniwa taboo:

1. Wapalestina kuteka na kushikilia maeneo ndani ya Israeli.

2. Israel na Marekani kufanya mazungumzo na hata kukubaliana na HAMAS.

3. Israel kuwa tayari kufanya mazungumzo kusaka mapatano na Hizbollah:



4. Houthi kufunga njia ya bahari hadi wa magharibi kughairi:



5. Maaskari wa vyeo vizito vizito wa Israel kufia vitani Palestina dhidi ya wana mgambo:



6. Kufahamika uwepo wa wafungwa watoto wa kipalestina waliofungwa na mahakama za kijeshi magerezani Israel.

7. Pamoja na madhila yao Gaza na Palestina kwa ujumla hata afya za miili yao yawezekana wako vizuri kuliko hata sisi.



(Linganisha commando wao na wetu).

8. Yawezekana Gaza wanapata umeme na maji vya uhakika vyema kuliko sisi.

9. Haipo namna ya kuwatengenisha HAMAS na wapalestina kwamba HAMAS ni Palestina na Palestina ni HAMAS:



10. Ufumbuzi pekee wa mgogoro huu ni mazungumzo yenye hatma ya kuwa na mataifa mawili kuishi kwa amani kama majirani.

Vita field, vita siyo kwenye sinema kwa kina Rambo, Schwarzenegger na kina Chuck Norris.
 
Netanyahu huwa anajisifia anajeshi bora na wanasayansi bora na kujisifu mbele ya mataifa mengien ..laki wapi kumbe ni wa kawaida sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kinachoendelea Gaza kilishasemwa(kutabiriwa) miaka 500 BC kuwa Israel watapigwa na kutawanywa (baada ya kumkaidi Mwenyezi Mungu) na baadaye watarudishwa. Waisraeli walipigwa na Warumi mwaka 135 AD na kutawanywa, mwaka 1948 walirudi kama ilivyosemwa, na watakaporudi, hakuna wa kuwatoa ( rejea Amos 9:15). Nabii Amos aliishi miaka ya 580 BC , na alisema Kuta za Gaza zitawaka moto (rejea Amos 1:6), ndicho kinachotokea Sasa. Wapalestina wakae kwa kutulia, vinginevyo kipondo kitaendelea mpaka wafutike, neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Netanyahu huwa anajisifia anajeshi bora na wanasayansi bora na kujisifu mbele ya mataifa mengien ..laki wapi kumbe ni wa kawaida sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
MBINU inayotumiwa na Hamas ilitumika Vietnam kuchimba Mahandaki chini MITA nyingi, hii imewasaidia kwa muda Hamas kwa kuwa mateka wa Israel wanawatumia kama ngao. MBINU hii Hamas itawasaidia kwa muda tu, Mahandaki yatakapoanza kujazwa maji, Hamas watatoka tu, na mwisho wao uko karibu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Nionavyo miye hii vita haina cha kufanya na dini wala utabiri wowote. Hii ni vita vya ukombozi kama mwingine wowote:



Yaani kama vya ANC, FRELIMO, MPLA, RPF, POLISARIO, NRM nk.
 

Vita ni sayansi. HAMAS hana supplies wala replenishment ya silaha. Bado amedinda kama kidume cha mbegu.

"Ama kweli mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe."
 
Mkuu kwani hapa kwetu tuna makomando?? Wakilewa gongo ndiyo huonesha ukomando wao kwa kupiga raia walevi

Commando wa HAMAS yuko kazini akimaanisha biashara:

 
Hujasema kwamba wapalestina 19000 wameuwawa na wanaendelea kuuwawa kwa upumbavu wa HAMAS. Nyie wangese mnao Sifia hawa watu na kuwapa kiburi huku wakilia na kufa kama wanyama. Huyo allah wao mbona hajitokezi mbwa kweli nyie. Israel mnae
 

Kuamini haya unayoyaandika, ndiko kutawafanya wapalestina kuzidi kuteketea. Muda si mrefu, vifo vya wapalestina vitafikia si chini ya 20,000. Huku kila mpalestina apataye upenyo, anaikimbia Gaza na kuwaacha waliosalia wakiteketea.
 
Nionavyo miye hii vita Haina cha kufanya na dini wala utabiri wowote. Hii ni vita vya ukombozi kama mwingine wowote:

View attachment 2843626

Yaani kama vya ANC, FRELIMO, MPLA, RPF, POLISARIO, NRM nk.

darcity ikikupendeza tafadhali.
Na hiyo ndio reality ya hali ilivyo !
Mengine yote ni mambo ya Superstitions za Imani za watu tofauti tofauti !!
Kila mtu atakuwa anatetea kitabu chake kinasemaje !!
Lakini in reality ni kama maneno ya hayati Mandela yanavyojieleza !
 
Maislamu ya humu hayana akili.Yakitoka kupewa story za kijiweni na propesa mazinge yanakuja humu kuandika yakidhani killa mtu ana upeo wa elimu ya madrasa kama wao.Yazoee
 
Hawa Hamas ni wanaume wa ashoka achana nao kabisa, wale mayahudi wengi wao ni mashoga tu kazi yao kubwa kuua wanawake na watoto
 
Hujasema kwamba wapalestina 19000 wameuwawa na wanaendelea kuuwawa kwa upumbavu wa HAMAS. Nyie wangese mnao Sifia hawa watu na kuwapa kiburi huku wakilia na kufa kama wanyama. Huyo allah wao mbona hajitokezi mbwa kweli nyie. Israel mnae
🚮🚮🚮
 
Hamas wamevizia na kuingia Israel na kuua wacheza disco na kuteka vibibi vizee!! Wameshikilia nyumba za raia kwa masaa machache na KUKIMBILIA GAZA na kujificha ktk hospitali, mahandaki na mashule huku wamevaa HIJABU kujificha nyuso, hawavai MAGWANDA wala hawana KAMBI za jeshi. Wanatumia raia kama NGAO (human shields) tarehe 07 October yenyewe waliuwawa wengi kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…