Mengi uliyoyaandika siyo ya kweli.
Hakuna moja katika niliyoandika lisilokuwa kuwa kweli.
1) Hakuna eneo ndani ya Israel lilitekwa na kukaliwa na Hamas.
1. Iliwachukua Israel zaidi ya siku 2 kuyakomboa maeneo ya Kibbutz yaliyokamatwa na HAMAS Oct 7.
What happened in Israel? A breakdown of how Hamas attack unfolded
2. HAMAS hata walikuwa replenished na silaha wakiyadhibiti maeneo ndani ya Israeli.
3. HAMAS waliingia kwenda zaidi 30km ndani ya Israeli.
4. Idadi ya mateka wakiwamo polisi na wanajeshi wanaowashikilia ni kielelezo kingine.
2) Siyo kweli kuwa imewahi kufikiriwa askari wa Israel hawawezi kuuawa na Hamas. Kwanza kuamini hivyo lazima uwe mjinga hasa. Hata askari wa Marekani waliuawa na wasomalia. Kuuawa hutokana na timing. Mauaji ya kushtukiza hakuna mwenye kinga nayo. Hata wayahudi kuwa wakali sana dhidi ya wapalestina kumetokana na Hamas kuwaua wayahudi kwa kushtukiza, ikiwa ni pamoja na mauaji ya kujilipua. Hakuna vita ambayo iliwahi kupiganwa huko nyuma ambapo Israel iliwaua tu Hamas, halafu yenyewe isipoteze askari hata mmoja.
1. Wapi nilipoandika askari wa Israel au hata kuelekea kuonyesha kuwa askari wa Israel hawezi kuuwawa?
2. Ni ujinga uliopitiliza kujaribu kuniwekea maneno mdomoni ndugu tena kwa sababu ya mahaba mshindo tu.
3. Kama askari wa vyeo vikubwa jamq hawa wameuawa vitani, kumbe wa kawaida wamekufa wangapi?
4. Hakuna vita vyovyote nyuma na Palestina wamekufa maafisa wa ngazi kubwa hivi wa Israel kwenye medani ya vita na Wana mgambo, Palestina.
3) Israel ni kati ya nchi zenye kiwango cha juu sana cha huduma za kijamii, na ndiyo imekuwa ikiihudumia Gaza na Westbank, kwa kuwapa huduma kama za umeme na maji bure. Hivyo siyo ajabu kuona umeme wa Gaza ni wa uhakika kuliko wa Tanzania. Na hata sasa, Israel imesema itaijenga upya Gaza kwa ubora zaidi ya ule wa mwanzo kwaajili ya wapalestina wema.
1. Huduma bora za maisha, umeme, maji, afya nk Gaza si kwa hisani ya Israeli.
2. Zingatia "bora" haya ni dhahiri hata wakati Israel imezuia maji, umeme, mafuta nk katika kipindi hiki cha vita.
3. Unayajua haya ndugu?
4. Gaza haipati maisha mazuri tokea Israel, bali adha, karaha, manyanyaso, na dhiki zote; ndiyo sababu ya vita vya ukombozi bila kujali gharama ndugu.
5. Kudai kuwa maisha bora ni kwa hisani ya Israeli, kwa hakika ni matusi ya nguoni bila shaka hata kwako kwa kudai uhuru tokea kwa mkoloni!
6. Bila shaka ni matusi pia hata kwa kudai katiba mpya tokea kwa mkoloni mweusi (CCM); au wewe huoni hivyo ndugu?
4) Israel imekwishawahi kufanya mazungumzo na Palestina mara nyingi sana, na ya kina zaidi na yaliyosababisha Wapalestina kupata mamlaka ya ndani ni yale ya 1993, yaliyosimamiwa na US.
1. Mkuu Israel haijawahi kufanya mazungumzo yoyote ya dhati na Israel zaidi ya Oslo accord waliyoishia mayahudi kumwua.
2. Israel haitaki taifa la Palestina pale na hiyo siyo siri
3. Mazungumzo kama yale pendwa ya Maridhiano na CCM kumbe yamekuwa na tija gani?
4. Mazungumzo yasiyolenga kuwa na taifa huru la Palestina ni ya nini ndugu?
5. Mashariki ya kati kimeo ni Israel:
6. Hoja ya Madiba inaishia, itendee haki avatar yako ndugu!