Yako Wapi Sasa? Nilisema Paul Makonda (Bashite) ni Dekio tu Safari Imeanza

Paul Makonda ni sikio la kufa lisilo na dawa, maisha ni haya haya Makonda atabaki kuwa ni Dekio tu, Hana hulka ya utulivu, Hana hulka ya staha na utii, Hana adabu, Hana heshima, Hana heshima ya umri.

Hulka za kisukuma ni za kishamba sana, sasa mziki ndio umeanza taratibu ili Makonda ajue yeye ni kidagaa na ngedere tu.

Tunamsubiri kwenye ziara za mawaziri huyo kinguchiro mpya wa Tamisemi habari ndio hio.

Usicheze na mamba akiwa nchi kavu wakati mto bado umejaa maji.

Kiangazi ni Riwaya na Masika ni Hadithi. Twende kazi DJ Chuki

Tukutane Arusha

Ni hayo tu to

Wadiz
Nenda kanunue Khanga mkuu
 
uchaguzi mkuu ujao anawania ubunge anashinda kisha anapata uteuzi baraza la mawaziri wizara nyeti anapewa. No demotion hapa, anapumzika kwa mudu tu ndani ya ukuu wa mkoa
 
Mumemtoa makonda kero zetu nani atazisikiliza sasa.
 
Ila mkuu hujaona kwa jicho la pili katika teuzi yake?
 
Alisema siku moja ukiona nimepita mkoani kwako then Rais akatengua watu ujue yeye ndie alietoa ushauri huo.
Sasa hivi sijui nani katoa ushauri wa yeye kutenguliwa
Alitoa yeye mwenyewe atenguliwee.
 
Huyu jamaa kashawekezesha vya kutosha ,hana njaa tena, una nyumba Oysterbay utamwambia Nini
 
Paul Makonda ni sikio la kufa lisilo na dawa, maisha ni haya haya Makonda atabaki kuwa ni Dekio tu, Hana hulka ya utulivu, Hana hulka ya staha na utii, Hana adabu, Hana heshima, Hana heshima ya umri.

Hulka za kisukuma ni za kishamba sana, sasa mziki ndio umeanza taratibu ili Makonda ajue yeye ni kidagaa na ngedere tu.

Tunamsubiri kwenye ziara za mawaziri huyo kinguchiro mpya wa Tamisemi habari ndio hio.

Usicheze na mamba akiwa nchi kavu wakati mto bado umejaa maji.

Kiangazi ni Riwaya na Masika ni Hadithi. Twende kazi DJ Chuki

Tukutane Arusha

Ni hayo tu to

Wadiz
Shida nini na Bashite tena?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom