Yako Wapi Sasa? Nilisema Paul Makonda (Bashite) ni Dekio tu Safari Imeanza

Nenda kanunue Khanga mkuu
 
uchaguzi mkuu ujao anawania ubunge anashinda kisha anapata uteuzi baraza la mawaziri wizara nyeti anapewa. No demotion hapa, anapumzika kwa mudu tu ndani ya ukuu wa mkoa
 
Mumemtoa makonda kero zetu nani atazisikiliza sasa.
 
Ila mkuu hujaona kwa jicho la pili katika teuzi yake?
 
Alisema siku moja ukiona nimepita mkoani kwako then Rais akatengua watu ujue yeye ndie alietoa ushauri huo.
Sasa hivi sijui nani katoa ushauri wa yeye kutenguliwa
Alitoa yeye mwenyewe atenguliwee.
 
Huyu jamaa kashawekezesha vya kutosha ,hana njaa tena, una nyumba Oysterbay utamwambia Nini
 
Shida nini na Bashite tena?🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…