Yale makelele yote ya mjini ameyazima Rais Samia

mmefurahi sana ila mna uhakika fei atakuja mezani kukaa na yanga wayamalize km mama alivyosema??
na fei mwenyewe atakubali kufuata taratibu ili yaishe km mama alivyosema??

alichosema mama yanga wamalize mgogoro na fei na sio wamuache fei aende,sasa kwenye huko kumalizana naamini fei atawaangusha nyie mnaofurahi...TUSUBIRI TUONE MNAVYOIWAZIA KAULI YA MAMA HUKU MKISAHAU FEI NI ZERO BRAIN NDIYE ATAKAYEKWAMISHA KAULI YA MAMA ISITEKELEZEKE...NIPO PALEEE
 
Hiyo thamani ya 350M pia ni hamshauri ya kichwa chako tu.Uzuri Ghalib knows better nini maana ya ombi la Rais wa JMT.Na Ghalib akielewa anabonyeza tu remote kwa mfanyakazi wake Hersi na kutoa maelekezo ya nini cha kufanya.Feisal ataondoka kwa 112M.Uzuri wala haichukui muda mrefu tutarudi hapa kusemezana tena.
 
350M kwa mchezaji anaekula 4M salary? Kama mnadhani ana thamani kubwa kaisi hicho sidhani kama ingekuwa tabu kuyaboresha masilahi yake.
 
350M kwa mchezaji anaekula 4M salary? Kama mnadhani ana thamani kubwa kaisi hicho sidhani kama ingekuwa tabu kuyaboresha masilahi yake.
Ndo msubili sasa mtajua kama alikuwa na thamani iyo ama lah!
 
Wana RoboFC hamna content kabisa siki hizi, mmebaki kuwaongelea Yanga mabingwa wa nchi πŸ˜„
 
Huyo hana adabu unakaataaje kusimama mbele ya Raisi.l wa Nchi, .South Hata kukanyaga tu aridhi ya kule wamempiga STOP ila bongo Hadi Ikulu anaingia, pathetic
 
Uongoooooo mkubwaaa huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Seems like Feisal kucheza Yanga kuna watu walikua wana umia sana! huyo hapo ameondoka tuone kama watavuka robo yao
 
Safari za ndege kwenda na kurudi bure, mualiko Ikulu bure, pilau bure, Ic ikulu bure, muziki ikulu bure, malipo yake ndio fei sasa kaeni kwa kutulia[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fei kwa ardhi ya jangwani,yenye thamani zaidi bilion2 nani amefaidika.kwa mujibu wa Aden Rage thamani Fei kutokana na muda uliobaki,mshahara na posho zake ni Kama million 300.kwa mbumbu fc wanaicheka yanga huku wanaumia kwa makasiriko kama yote@Jemedari.elite wa nchi hii wanelewa jinsi gani wamewin eneo katikati ya Jiji la kibiashara.hiyo ardhi tofauti na ofa usafiri wa ndege,cash,na ndege kwenda na kurudi algeria.hizi zinafika 300.ardhi ni faida .Asante MAMA kazi iendelee
 
Mama kaupiga mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aise kweli hamnancha bure hapa duniani
Hakika hakuna Cha bure ardhi ya bilion 2+ kwa Fei win win.no ardhi Fei aende CAS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…