dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
mmefurahi sana ila mna uhakika fei atakuja mezani kukaa na yanga wayamalize km mama alivyosema??Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia.
Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi.
Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa.
Nendeni mkalitizame hili suala la huyu kijana (Fei) hapa kila mwana uto akaanza kuguna huyu mama vipi tena?😁😁😁
Safari za ndege kwenda na kurudi bure, mualiko Ikulu bure, pilau bure, Ic ikulu bure, muziki ikulu bure, malipo yake ndio fei sasa kaeni kwa kutulia 😆😆😆😆😆.
na fei mwenyewe atakubali kufuata taratibu ili yaishe km mama alivyosema??
alichosema mama yanga wamalize mgogoro na fei na sio wamuache fei aende,sasa kwenye huko kumalizana naamini fei atawaangusha nyie mnaofurahi...TUSUBIRI TUONE MNAVYOIWAZIA KAULI YA MAMA HUKU MKISAHAU FEI NI ZERO BRAIN NDIYE ATAKAYEKWAMISHA KAULI YA MAMA ISITEKELEZEKE...NIPO PALEEE