Sante kipenziUmeona eeeeeh
Ndio maana nakupendaga sana aisee!
Haya karibu chakula cha mchana mama!
we acha tuSante kipenzi
Nakupenda pia..!!
Ila mbona umechelewa?
samahani wife The secretary nilikuwa bize nafukua kifusi,hujambo mpenzi?
Mbona Bishanga hajajibu swali.. Kifusi gani kinachofukuliwa nyumba ya wageni..? Ndo maana The secretary kanuna halafu amesusa..
hujafa tu!
inuniwe helaa?
heee The secretary.. umeshachungulia ripoti ya tume nini..? mbona umekuwa hivyo kwa mahabuba wako Bishanga..?
ha ha ha.. kazi kweli kweli kwa Bishanga tajiri la kihaya.. The secretary ameanza kunusa ufisadi wake kwa miili ya watoto wa kike..
unajua kifusi cha guest kinafunika zaidi ya kile cha ghorofa au changalawe
hujafa tu!