Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
hakuna kutakiana heri hapa familia imekashifiwa kupita maelezo halafu mkuu wa kaya haji hata kukanusha Bishanga come this way
Mama mdogo I love you n' Dady nakupenda familia yetu ipo imala na huo ni upepo to maza utapita..
Dadi anakuja kasema anakupenda sana
Pasaka si ni jumapili au ni lini kwani aaah!
Mh kweli familia yenu ipo 'imala' ndo mana ipo hivyo! Pengine ingekuwa 'imara' wala tusingekuwa twaiongelea hapa!
inabidi upate usingizi wa kutosha...naomba urudi kulala
Asubuhi unajua umefanyaje
nimekuamsha mapema
Utajua kama uliniamsha mapema au ulinifanyaje
Ona unavobabaika! Unaanza kujiorodheshea mwenyewe! Lols! Utawajua tu kwa magamba yao!
We hujui mimi na Elli ndo tulishirikiana katika kumkamata yule jamaa aliyemuua padre?
Wale wengine walkua wasindikizaji tu.
hahahhaaaaa una bahati nimesahau ugagnga wangu pale SONI-Lushoto jana wakati nanunua matunda......na wewe ningekusomoea ile kitu kama waliyomsomea Baba nanihino
Mbon shafo Paloooooo
Sijawahi kutishiwa maisha na mtu yeyote. Tena hiki kinywaji kingenitishia maisha si ningekimeza chote??
Safari_ni_Safari alimtishia maisha babu Asprin.. babu akamuahidi atakiona kilichomtoa kanga manyoya.. Safari_ni_Safari ameingia mitini.. Babu Asprin naomba utoe tishio dhidi yake ili arudi nyumbani kwake.. ametubu..
Arabela hakueleweka kabisa sikukuu hii.. naona alikuwa anammendea sana mwenyekiti wa tume ya Erickb52 na akadiriki hata kubisha hadharani.. wakati huo huo akawa anafliti na babu Asprin..
Oh Maaammmah! Hivi uliyoniambia jana ni kweli??mbon shafo asproooooo