Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

Mi namshangaa aisee naona hana nia nzuri sijui ni wivu wa kuwa na hawa vyeupe wangu lol

kumbuka Erickb52 penzi ni kitovu cha uzembe..! nimekupa kazi nyeti na wewe umeamua kwa makusudi kumuongeza Arabela kwenye hiyo tume tofauti na matakwa yangu..
 
Last edited by a moderator:
:wink::wink::wink: erick52
Achana na huyu mdada hana dili naona anatafuta ugomvi na mimi
Mimi namwambia nina njaa ya msosi ye anasema nina njaa ya nanii lol kanifanya niipate kweli :A S shade:
 
Last edited by a moderator:
saluti mwenyekiti..

hii saluti mwenyekiti imekaa vibaya.. Erickb52 ni mwenyekiti ya kuchunguza sifa alizotoa Bishanga kwa manoah.. linakuhusu sana hili mimisa halafu unakuja kumsifia mwenyekiti.. jeee unataka kumlegeza ili atoke na ripoti inayokupendelea..?

Asante sana!
Siunajua hata mi ni mwenyekiti wa kamati ya kumchunguza manoah ?
Hahahahaaa wenye viti tuko wengi mimisa
Erickb52 naomba ripoti sasa.. maana naona dalili ci njema..
 
Last edited by a moderator:
Kwani mlitupa deadline ya kutoa report?
Hebu msituharakishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…