Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.
Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.
Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.
Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu 😭😔😔😔