EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani???Ninayo moja, kuna vitu siwezi kulilia kama mleta mada.
Namtaka huu mwaka ni wakuacha ukaperaMbona sasa haupo serious! Unamtaka demu huku unacheka
Mambo bebi...😍Swali kwako mtoa mada huyo mume ni wa humu
Minaona ni uji...😜Chai
Mbona haya mambo ulisha sanuliwa na best friend wa Papa Bear kitambo..... lakini ukakaza shingo mkuu...😜yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.
Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.
Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.
Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu 😭😔😔😔
Unashauri mwenzio kuwa single wakati wewe una mwanaume kweli wanawake mnajuana wenyewe😆😆Nacheka kama mazuri, pole ndiyo ukubwa huo. Mwanaume akiwa kwkao akitoka wa wote huyo. Bora kuwa single tu...
Ushauri Gani huo kuwa single Tena Alafu ?????Nacheka kama mazuri, pole ndiyo ukubwa huo. Mwanaume akiwa kwkao akitoka wa wote huyo. Bora kuwa single tu...
Kumbe wewe ni mwanaume? 😬😬 no offence mkuu ila miaka yote huwa nadhani hii id ni ya kikeNjoo kwangu, Mimi mwaminifu saana
😂😂
Utajua mwenyewe. Kama Kazi yako ni kufatilia id ya MTU ambaye hakujui.Kumbe wewe ni mwanaume? 😬😬 no offence mkuu ila miaka yote huwa nadhani hii id ni ya kike
🤣 🤣 🤣Wenzio walikuwa 300 kwa Mfalme Suleiman na walikuwa poa tu, wewe 10 tu unalia na kuleta uzi JamiiForums 😂😂
Hao walikua ni Masuria wake walikua 700Wenzio walikuwa 300 kwa Mfalme Suleiman na walikuwa poa tu, wewe 10 tu unalia na kuleta uzi JamiiForums 😂😂
Upo single mtaniNacheka kama mazuri, pole ndiyo ukubwa huo. Mwanaume akiwa kwkao akitoka wa wote huyo. Bora kuwa single tu...
Huyu ndo yule figo wa kipindi kile 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] ila Kidney una heka heka weyeee, khaaaah
Poleee mwayaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had bas.Kumbe wewe ni mwanaume? [emoji51][emoji51] no offence mkuu ila miaka yote huwa nadhani hii id ni ya kike