Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,

Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.

Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.

Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.

Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu 😭😔😔😔
strong and fearless, kumbe uongo
tulia na huyo mbwa wako woote tuko hivo
 
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,

Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.

Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.

Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.

Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu 😭😔😔😔
Ulivyojua ulifanya uamuzi gani?,stay or go ahead
 
Wewe cha kukufanya uchukue simu yake, uchukue namba zake, upigie watu wake na kuwauliza kuhusu mumeo, NI NINI?

Haudumii familia?

Hakupi mb**?

Unatafuta nini kingine?

UKOME.
 
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,

Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.

Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.

Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.

Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu 😭😔😔😔
Kuchukua namba za watu usiowajua kutoka kwnye simu ya bwako ulitaka ugundue nini? Ulichokuwa unakitafuta ulikipata jana tulia dawa ikuingie.
 
Nawe msaliti mumeo iwe ngoma draw , nakumbuka enzi zangu mimi wakati nachepuka nilikuwa kama mumeo siwezi kukubali jambo na michepuko zangu nimezisave majina ya washikaji zangu kumbe ndo michepuko zangu , nashukuru Mungu mambo yalikwenda vema zaidi sikuwahi kukamatwa.
 
Wanaume tuko ladhi tukatwe kidole lakini sio kukubali.

Kuna jamaa alifuniwa akabahatika kusepa Sasa katika kukimbia akaacha shati lake mjuavyo kijijn watu hujuana hata Kwa mashati tu kuwa hili la fln .

Jamaa kuona vile akaenda Hadi kwake asbh na mapema akaamka kwenda kununua lile shati lilikuwa la Yanga.

Akiwa Bado mjini watu wakafika Kwa mke wake wakamuuliza habar za Mme wake akakiri Mme wake kalala hapa na ameondoka asbh hajui kaenda wapi.

Wakamwambia hii shati si mmeo akakubali Hadi akainusa na kuwa hakikishia ni yenyewe.

Muda sio mrefu jamaa huyu hapa kalowana na matope shati la Yanga analo na samaki aina ya kamogo kabeba.

Wakamuuliza hajui Kila kitu na anawashangaa huku anawafukuza kwake mke wake anamwambia lkn hili ni lako akamwambia Mimi ninajua shati langu ni Hili Hilo silijui.

USHAHIDI ukakosekana.
Are we supposed to take this from Nikifa mke wangu asiolewe?
 
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,

Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine.

Cha kushangaza namba zote wanapokea wanawake tofauti na nikiwauliza kuhusu mwanume wangu mimi kila moja anasema yupo in relationship nae, aisee niliishiwa nguvu, na nimelia sana.

Nimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.

Yaani am really hurt
Wanaume sina hamu tena kwenu zimeniishia kwa tabia zenu 😭😔😔😔
Chai
 
Umesema mwanaume wako? Wako umemtoa wapi? Hakuna mwanaume wa mke mmoja, haipo, ila kuna mke wa mwanaume mmoja tu, hii ni tokea enzi na enzi, tokea mbingu na dunia ziumbwe, so hakuna mwanaume wako peke yako, ila wewe ni mwanamke wake peke yake huyo mwanaume, ukitaka kushindana na nature, utashindwa na kupotea dunia hii..!!
 
Back
Top Bottom