Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

Hujatujaribu wote wengine tupo poa tu πŸ˜‚
 
β€œNimemconfront my mwanaume about the issue anakataa ansema Eti hao ni mademu za washkaji zake Yani kakataa kati katu, Yani wanaume mna kipaji cha kukata jamani.”

Sasa kuliwa kuna sababu gani ya kuchanganya lugha? Kwanini usingeliandika kingereza kitupu tuu? Lakini kwa ulichokifanya na kukipata ulikitafuta mwenyewe kwa hiyo sasa unalipia matokeo ya kuwa mjuaji! Usichunguze simu ya mtu…
 
Mwizi huibiwa na mwizi mwenzake,

Tajiri hukaa namatajiri wenzake

Maskini hukaa na maskini wenzake

Ndege wafananao ndio hurukao pamoja

As above, so below

As within, so without
 
🀣🀣🀣🀣 hii kali sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu usirudie tena kuchunguza simu kama bado unampenda mpenzi wako. Anaweza asiwe anacheat kabisa kumbe siku unayoshika simu ndio siku mtu anakosea namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…