Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Hii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda kujifungua et wamemzuia kupita na wamempiga mbaya then wamemuingiza kwenye gari kama unavyo ona hapo sasa unaweza shangaa hata ndugu zake wasijue na akapewa kesi mambo kama haya ndo yanatia wananchi hasira.