Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Tuwape mdaMavi ni mavi TU yataendelea kunuka au kukosa thamani serikali ni kinyesi hakuna pafyumu ya kuipaka Wala sio mbinu wameshajidhalilisha wenyewe
Tuwape mdaMavi ni mavi TU yataendelea kunuka au kukosa thamani serikali ni kinyesi hakuna pafyumu ya kuipaka Wala sio mbinu wameshajidhalilisha wenyewe
Hizo hadithi zenu sasa 😅😅
Halafu script inapitaga mulemule eti mkewe kajifungua 😅😅
Kwahiyo mlimuuliza huyo jamaa au mmejuaje na inaonekana mko mbali
Kufanya wananchi waichukie serikali yao ni mbinu ya kipumbavu
Kwani kuna kosa gani Polisi kumuomba kitambulisho chake? Ndiyo wewe uliyekuwa unachukua hiyo video mbona hata kuchukua video hujui ulichofanya umemchukua tu huyo dada na sauti yako au mnafanya matangazo yenu?Hii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda kujifungua et wamemzuia kupita na wamempiga mbaya then wamemuingiza kwenye gari kama unavyo ona hapo sasa unaweza shangaa hata ndugu zake wasijue na akapewa kesi mambo kama haya ndo yanatia wananchi hasira.
Serikali halali inachaguliwa na watu wengiHata kama hujaichagua wewe ndo serikali yako hiyo
Kuna watu wamekuwakilisha kukuchagulia
Toa hiyo notion ya uchawaSerikali halali inachaguliwa na watu wengi
sio na ka kikundi ka watu wachache
wewe ni chawa halafu unataka mods wapige ban member humu..
Wewe ni kiazi mbatata pimbi pumpikin head!
kibiti walimjaribu mzee magu , ahaa ahaaa kilichowatokea mpaka leo hadi bibi zao walijua kuruka kichura chura ahaaaaaPolisi wanataka waanze kufumuliwa ubongo kama enzi za MKIRU.
mahakama peleka kesi za ndoa na kurushana huko, Yanni mtu kachoma sheli kachoma kituo cha polisi unampeleka mahakaani ? ni kutumia kodi zetu vibaya huyo mpeleke ahera tuPolisi ni kama hawajui kuwa mahakama zipo.
Maamuzi wanamaliza wenyewe.
Kwa hili liserikali la ccm wakiona watu wengi wanaomba passport watapiga pini! Akili zao tunazijua hawaPassport sio ngumu kupata tatizo watu wanasubiri hadi wakati inahitajika ndio waanze maombi..
Wewe ukiwa na mchongo wa nje unausubiria anza kuomba Passport mapema walau miezi mitatu kabla....tofauti na hapo utaishia kutoa hela za kuwahonga......
Uwe na kadi ya Nida ( au namba) japo kwa sasa kadi zimetoka (muhimu)
Cheti chako cha kuzaliwa ( muhimu)
Kadi za nida za wazazi kama wapo
Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi au barua ya uthibitisho unaipata kwa mawanasheria
Unaweza kuwa na barua ya mtendaji wako ulikozaliwa kwa ajili ya utambulisho
Ukisha jaza ile fomu yao, wanaipitisha chap ndani ya mwezi una passport
Ningekuwa na nafasi ningeshauri, wanafunzi wote kuanzia kidato cha sita na kuanzia ngazi ya diploma kwenda juu wapatiwe passport
BOX LA KURA Unamaanisha nini wewe?Toa hiyo notion ya uchawa
Chenye uhalall wa kuiweka serikali madarakani ni kupitia box la kura
Na uchaguzi ulifanyika sasa sijui doubts zako ziko wapi? Mkuu
Note:mimi sio chawa niko huru kimawazo
Kwenye somo la kuignore matusi nilipata 100%BOX LA KURA Unamaanisha nini wewe?
Vp tume huru ya uchaguzi unajua inapatikanaje?
Najizuia leo
ntakutukana kima kiazi pimbi pumpukin head
Sijui unatumia akili gani kufikiri
Nyie ndo wangese wa taifa!
Na kiongozi ni lazima ajue kuwa kama alichaguliwa kwa asilimia 98 basi kuna asilimia 2 zilizobaki ambazo hazijamchagua.Hata kama hujaichagua wewe ndo serikali yako hiyo
Kuna watu wamekuwakilisha kukuchagulia
Mkuu, kwa hiyo ambavyo hatukuwa tukiulizwa vitambulisho, unaona ilikuwa ni uzembe sana? Yaani unatoa mifano ya kenya na south kana kwamba kuulizwa vitambulisho ni usasa au maendeleo, kuwa tuyaigeTatizo watu hawajatoka nje ya Nchi... akiulizwa anafikiri anasumbuliwa
Ndiyo polisi wanataka kuturidisha huko.kibiti walimjaribu mzee magu , ahaa ahaaa kilichowatokea mpaka leo hadi bibi zao walijua kuruka kichura chura ahaaaaa
Wapi amelazimisha zimkubali?Na kiongozi ni lazima ajue kuwa kama alichaguliwa na asilimia 98 basi kuna 2 ambazo hazijamchagua.
Suluhu sio kuzilazimisha hizo 2 zimkubali, bali ni kuzishawishi au aende nazo hivyohivyo kama pinzani.
Hivyo ndio demokrasia inavyokuaga
Acha uwongo wa kijingaTanzania kuwa kisiwa cha amani, watu hawajazoea kuulizwa kitambulisho au hata unaenda wapi?
Ukienda Ulaya hayo ni maswali ya kawaida au hapo kenya au hata south Africa. Tatizo watu hawajatoka nje ya Nchi... akiulizwa anafikiri anasumbuliwa
Ulaya na Marekani ukisahau kitambulisho/passport huwezi kupita barabarani.....
Hapo sijakutukana nimekupa sifa tuKwenye somo la kuignore matusi nilipata 100%
Hata utukane vipi mkuu ukweli huwa haubadiliki ni kweli tume huru ya Taifa ya uchaguzi ni tume kivuli hilo wala sipingi
Umeuliza kuhusu box la kura
Hili si linajulikana tutachagua viongozi kupitia box la kura then watakuwa announced na NEC kinachobakia ni kutake oaths hatimaye kuanza kutumikia wananchi
Au serikali mpya huwa inaingiaje siku zote??
Ulipiga kura tarehe 29?Hapo sijakutukana nimekupa sifa tu
umekubali tume ni kivuli basi hata box la kura ni kivuli uchaguzi wote kivuli
serikali kivuli rais pia kiazi km wewe?