mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Umeshasema ni mpakani sasa Dar au Arusha kuna mpaka?Yaani umsimamishe kila mtu kumuuliza kitambulisho?haya tufanye mtu ni Mtanzania ila hana kitambulisho cha Nida utamfanyaje au utamuhamisha nchi?Kwenda Lusaka kutokea mpakani Nakonde - Tunduma kuna barrier kama nne zenye police na immigration officers.. Isoka, Mpika, Mkushi na Kapiri-mposhi kunakuwaga na ukaguzi wa hatari. Na wakati mwingine mnaweza mkasimamishwa na kukaguliwa tena sehemu yoyote. Wabongo hawajazoea kabisa.