Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mmmm hii story umeitoa wapi mkuu mana kwa video haipo Je ulikuepo hapo au?? JF nayo ishaa kuwa ya kichoko sasaHii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda kujifungua et wamemzuia kupita na wamempiga mbaya then wamemuingiza kwenye gari kama unavyo ona hapo sasa unaweza shangaa hata ndugu zake wasijue na akapewa kesi mambo kama haya ndo yanatia wananchi hasira.
Hata hivyo vitambulisho vipo sasa, yaani ushike namba ya Nida au kitambulisho cha mpiga kura?Tanzania kuwa kisiwa cha amani, watu hawajazoea kuulizwa kitambulisho au hata unaenda wapi?
Ukienda Ulaya hayo ni maswali ya kawaida au hapo kenya au hata south Africa. Tatizo watu hawajatoka nje ya Nchi... akiulizwa anafikiri anasumbuliwa
Ulaya na Marekani ukisahau kitambulisho/passport huwezi kupita barabarani.....
Kwenda Lusaka kutokea mpakani Nakonde - Tunduma kuna barrier kama nne zenye police na immigration officers.. Isoka, Mpika, Mkushi na Kapiri-mposhi kunakuwaga na ukaguzi wa hatari. Na wakati mwingine mnaweza mkasimamishwa na kukaguliwa tena sehemu yoyote. Wabongo hawajazoea kabisa.Tanzania kuwa kisiwa cha amani, watu hawajazoea kuulizwa kitambulisho au hata unaenda wapi?
Ukienda Ulaya hayo ni maswali ya kawaida au hapo kenya au hata south Africa. Tatizo watu hawajatoka nje ya Nchi... akiulizwa anafikiri anasumbuliwa
Ulaya na Marekani ukisahau kitambulisho/passport huwezi kupita barabarani.....
Passport sio ngumu kupata tatizo watu wanasubiri hadi wakati inahitajika ndio waanze maombi..Hata hivyo vitambulisho vipo sasa, yaani ushike namba ya Nida au kitambulisho cha mpiga kura?
Passport imekuwa ngumu kupatikana kuliko kumiliki kaburi.
Mkuu,sasa unaongelea kiambatanisho cha Nida,tuliko toka ilikuwa lazima uwe na barua ya mwaliko au umepata chuo nje ya nchi ndipo uombe passport kwa kutumia viambatanisho hivyo. Wengi wenye rika letu hata hiyo Nida hatuna achilia mbali kitambulisho cha mpiga kura.Passport sio ngumu kupata tatizo watu wanatafuta wakati inahitajika....
Tafuta passport yako mapema wala hutoi hela ya ziada hata shilingi.
Uwe na kadi ya Nida
Cheti chako cha kuzaliwa
Kadi za nida za wazazi kama wapo
Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi au barua ya uthibitisho unaipata kwa mawanasheria
Unaweza kuwa na barua ya mtendaji ya utambulisho
Ukisha jaza ile fomu yao, wanaipitisha chap ndani ya mwezi una passport
Ningekuwa na nafasi ningesema, wanafunzi wote kuanzia kidato cha sita na kuanzia ngazi ya diploma kwenda juu wapatiwe passport
Ulaya hamna huo ujingaTanzania kuwa kisiwa cha amani, watu hawajazoea kuulizwa kitambulisho au hata unaenda wapi?
Ukienda Ulaya hayo ni maswali ya kawaida au hapo kenya au hata south Africa. Tatizo watu hawajatoka nje ya Nchi... akiulizwa anafikiri anasumbuliwa
Ulaya na Marekani ukisahau kitambulisho/passport huwezi kupita barabarani.....
Serikali yao kivipi, ni lini waliichagua?Kufanya wananchi waichukie serikali yao ni mbinu ya kipumbavu
Hata kama hujaichagua wewe ndo serikali yako hiyoSerikali yao kivipi, ni lini waliichagua?
Hizo hadithi zenu sasa π π
Halafu script inapitaga mulemule eti mkewe kajifungua π π
Kwahiyo mlimuuliza huyo jamaa au mmejuaje na inaonekana mko mbali
Kufanya wananchi waichukie serikali yao ni mbinu ya kipumbavu

Hiyo reply yako nenda kwa mtoto wako au mama yako au mke wako mwambie kuna mtu JF nimemjibu hivi badala ya yeye kureply hivisasa hii ni serikali au usenge broo?? serikali iliyojipachika kama mboo inaingizwa kwa nguvu kwa mqundu wako??
Chai,Hata kama hujaichagua wewe ndo serikali yako hiyo
Kuna watu wamekuwakilisha kukuchagulia
Huwezi kukuta shabiki wa Simba akijinasibu kuwa anaipenda Yanga kamwe huwezi kukutaChai,
Ni majizi ya uchaguzi ndo sababu wananchi hawawataki
Hizo hadithi zenu sasa π π
Halafu script inapitaga mulemule eti mkewe kajifungua π π
Kwahiyo mlimuuliza huyo jamaa au mmejuaje na inaonekana mko mbali
Kufanya wananchi waichukie serikali yao ni mbinu ya kipumbavu
Ulaya gani wewe unayoiongelea? Zimbabwe?Tanzania kuwa kisiwa cha amani, watu hawajazoea kuulizwa kitambulisho au hata unaenda wapi?