PostGE2025 Yaliyojiri Arusha Yakifanywa Na Polisi Kwa Raia- Hawajaacha Kutumia Landcruiser Zao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hizo hadithi zenu sasa 😅😅

Halafu script inapitaga mulemule eti mkewe kajifungua 😅😅

Kwahiyo mlimuuliza huyo jamaa au mmejuaje na inaonekana mko mbali

Kufanya wananchi waichukie serikali yao ni mbinu ya kipumbavu

Mavi ni mavi TU yataendelea kunuka au kukosa thamani serikali ni kinyesi hakuna pafyumu ya kuipaka Wala sio mbinu wameshajidhalilisha wenyewe
 
Kwani kuna kosa gani Polisi kumuomba kitambulisho chake? Ndiyo wewe uliyekuwa unachukua hiyo video mbona hata kuchukua video hujui ulichofanya umemchukua tu huyo dada na sauti yako au mnafanya matangazo yenu?
 
Reactions: Tui
Polisi ni kama hawajui kuwa mahakama zipo.

Maamuzi wanamaliza wenyewe.
 
Hata kama hujaichagua wewe ndo serikali yako hiyo

Kuna watu wamekuwakilisha kukuchagulia
Serikali halali inachaguliwa na watu wengi
sio na ka kikundi ka watu wachache
wewe ni chawa halafu unataka mods wapige ban member humu..
Wewe ni kiazi mbatata pimbi pumpikin head!
 
Serikali halali inachaguliwa na watu wengi
sio na ka kikundi ka watu wachache
wewe ni chawa halafu unataka mods wapige ban member humu..
Wewe ni kiazi mbatata pimbi pumpikin head!
Toa hiyo notion ya uchawa

Chenye uhalall wa kuiweka serikali madarakani ni kupitia box la kura

Na uchaguzi ulifanyika sasa sijui doubts zako ziko wapi? Mkuu

Note:mimi sio chawa niko huru kimawazo
 
Polisi ni kama hawajui kuwa mahakama zipo.

Maamuzi wanamaliza wenyewe.
mahakama peleka kesi za ndoa na kurushana huko, Yanni mtu kachoma sheli kachoma kituo cha polisi unampeleka mahakaani ? ni kutumia kodi zetu vibaya huyo mpeleke ahera tu
 
Kwa hili liserikali la ccm wakiona watu wengi wanaomba passport watapiga pini! Akili zao tunazijua hawa
 
Toa hiyo notion ya uchawa

Chenye uhalall wa kuiweka serikali madarakani ni kupitia box la kura

Na uchaguzi ulifanyika sasa sijui doubts zako ziko wapi? Mkuu

Note:mimi sio chawa niko huru kimawazo
BOX LA KURA Unamaanisha nini wewe?
Vp tume huru ya uchaguzi unajua inapatikanaje?

Najizuia leo
ntakutukana kima kiazi pimbi pumpukin head
Sijui unatumia akili gani kufikiri
Nyie ndo wangese wa taifa!
 
BOX LA KURA Unamaanisha nini wewe?
Vp tume huru ya uchaguzi unajua inapatikanaje?

Najizuia leo
ntakutukana kima kiazi pimbi pumpukin head
Sijui unatumia akili gani kufikiri
Nyie ndo wangese wa taifa!
Kwenye somo la kuignore matusi nilipata 100%

Hata utukane vipi mkuu ukweli huwa haubadiliki ni kweli tume huru ya Taifa ya uchaguzi ni tume kivuli hilo wala sipingi

Umeuliza kuhusu box la kura

Hili si linajulikana tutachagua viongozi kupitia box la kura then watakuwa announced na NEC kinachobakia ni kutake oaths hatimaye kuanza kutumikia wananchi

Au serikali mpya huwa inaingiaje siku zote??
 
Hata kama hujaichagua wewe ndo serikali yako hiyo

Kuna watu wamekuwakilisha kukuchagulia
Na kiongozi ni lazima ajue kuwa kama alichaguliwa kwa asilimia 98 basi kuna asilimia 2 zilizobaki ambazo hazijamchagua.

Suluhu sio kuzilazimisha hizo 2 zimkubali, bali ni kuzishawishi au aende nazo hivyohivyo kama pinzani.

Hivyo ndio demokrasia inavyokuaga
 
Tatizo watu hawajatoka nje ya Nchi... akiulizwa anafikiri anasumbuliwa
Mkuu, kwa hiyo ambavyo hatukuwa tukiulizwa vitambulisho, unaona ilikuwa ni uzembe sana? Yaani unatoa mifano ya kenya na south kana kwamba kuulizwa vitambulisho ni usasa au maendeleo, kuwa tuyaige
 
Na kiongozi ni lazima ajue kuwa kama alichaguliwa na asilimia 98 basi kuna 2 ambazo hazijamchagua.

Suluhu sio kuzilazimisha hizo 2 zimkubali, bali ni kuzishawishi au aende nazo hivyohivyo kama pinzani.

Hivyo ndio demokrasia inavyokuaga
Wapi amelazimisha zimkubali?

Ingekuwa wewe ndo Rais halafu hizo 2% zinademand utoke madarakani kuwa hawana imani na wewe ungekubaliana na matakwa yao??
 
Acha uwongo wa kijinga
 
Hapo sijakutukana nimekupa sifa tu
umekubali tume ni kivuli basi hata box la kura ni kivuli uchaguzi wote kivuli
serikali kivuli rais pia kiazi km wewe?
 
Hapo sijakutukana nimekupa sifa tu
umekubali tume ni kivuli basi hata box la kura ni kivuli uchaguzi wote kivuli
serikali kivuli rais pia kiazi km wewe?
Ulipiga kura tarehe 29?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…