mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Umeshasema ni mpakani sasa Dar au Arusha kuna mpaka?Yaani umsimamishe kila mtu kumuuliza kitambulisho?haya tufanye mtu ni Mtanzania ila hana kitambulisho cha Nida utamfanyaje au utamuhamisha nchi?Kwenda Lusaka kutokea mpakani Nakonde - Tunduma kuna barrier kama nne zenye police na immigration officers.. Isoka, Mpika, Mkushi na Kapiri-mposhi kunakuwaga na ukaguzi wa hatari. Na wakati mwingine mnaweza mkasimamishwa na kukaguliwa tena sehemu yoyote. Wabongo hawajazoea kabisa.
Wewe mpumbavu kama huna hoja kaa kimya.Umeshasema ni mpakani sasa Dar au Arusha kuna mpaka?Yaani umsimamishe kila mtu kumuuliza kitambulisho?haya tufanye mtu ni Mtanzania ila hana kitambulisho cha Nida utamfanyaje au utamuhamisha nchi?
Jamaa amesema kuwa hakumchagua huyo Rais, ukamjibu kuwa wenzake walimchagulia.Wapi amelazimisha zimkubali?
Ingekuwa wewe ndo Rais halafu hizo 2% zinademand utoke madarakani kuwa hawana imani na wewe ungekubaliana na matakwa yao??
Tulilipua kituo chetuUlipiga kura tarehe 29?
Umeona ubwege wako umeamua ukimbie sasa π π πTulilipua kituo chetu
usinichoshe na maswali yako ya kiwaki sawa usini quote tena plz.
Wewe una akili gani zaidi ya akili ya kuvukia barabara na ya pili ya uchawa tu kisa unalipwa buku 7 na kuahidiwa baiskeli.Wewe mpumbavu kama huna hoja kaa kimya.
kafie mbelee hukoHiyo reply yako nenda kwa mtoto wako au mama yako au mke wako mwambie kuna mtu JF nimemjibu hivi badala ya yeye kureply hivi
Halafu waulize hapa mnaona nani ana akili timamu wakikutaja wewe nadeactivate akaunti yangu JF
Kwahiyo sisi tumataka kiwa kama Ulaya au kama China au kivyetu vyetu??Tanzania kuwa kisiwa cha amani, watu hawajazoea kuulizwa kitambulisho au hata unaenda wapi?
Ukienda Ulaya hayo ni maswali ya kawaida au hapo kenya au hata south Africa. Tatizo watu hawajatoka nje ya Nchi... akiulizwa anafikiri anasumbuliwa
Ulaya na Marekani ukisahau kitambulisho/passport huwezi kupita barabarani.....