Mwenyekiti amewaasa waongee kwa mifano, sasa Arfi anapotuambia ni utaratibu wa dunia nzima bila kutaja nchi, akitajiwa nchi zinazotumia utaratibu unaopendekezwa sasa?Sasa ni zamu ya Said Arfi. Anasema kuwa yeye haungi mkono mabadiliko ya kanuni. Anasema kuwa haoni sababu za msingi zamkuwataka wajumbe walio nje ya bunge kupiga kura. Anasema kuwa utaratibu uliopo dunia nzima kuwa ni wabunge waliopo ndani ya bunge tu ndio wanapiga kura. Anasema kuwa hakuna hakika kuwa ni wabunge watakaopiga kura.
Sio kweli,sio mtu makini kabisa,nimefuatilia sana hoja zake,yuko biased na upeo mdogo sana wa kuchambuamambo,pia ni opportunist fulani ambaye ana matarajio fulani baada ya mchakato,ni mchumia tumbo mzuri tu,hivyo usimsifie bila vigezo.Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni, Pandu Ameir Kificho anamuita mjumbe wa kamati hiyo Amon Mpanju kuwasilisha mabadiliko yanayotarajiwa kufanywa. Mpanju anaanza kwa kutoa shukran kwa mwenyekiti wake kwa kumpa fursa yamkutosha ndani ya kamati hiyo bila ya kujali hali yake ya ulemavu. Kwa wale wasiomjua Amon Mpanju, ni kwamba huyu ni mlemavu wa kutoona lakini ni mtu makini sana.
Ni kweli Mkuu. Mwenyekiti Sitta yupo makini sana kwa leo. Anajaribumkuwaweka sawa wabunge wqnapoteleza. Anamhoji Arfi kama ni sahihi kura zipigwe zaidi ya siku 300 ilhali fedha za walipa kodi zinateketea. Anasema kuwa Arfi anaheshimika kitaifa hivyo ni vema akatunza heshima aliyo nayoMwenyekiti amewaasa waongee kwa mifano, sasa Arfi anapotuambia ni utaratibu wa dunia nzima bila kutaja nchi, akitajiwa nchi zinazotumia utaratibu unaopendekezwa sasa?
huyo mwana Dada ni mwanasheria, hivyo anajua anachokiteteaPindi Chana anachangia sasa. Kwanza anaunga mkono kwa vile utaratibu mpya wa kupiga kura utampa haki kila mbunge kupiga kura bila ya kujali mahali alipo. Pia mabadiliko hayo yanaokoa fedha nyingi ambazo zingeteketea kama kanuni ingqbaki kama ilivyo kwani ingehitaji zaidi ya siku 300 kupiga kura bila ya kujali weekend na sikukuu
Sio kweli,sio mtu makini kabisa,nimefuatilia sana hoja zake,yuko biased na upeo mdogo sana wa kuchambuamambo,pia ni opportunist fulani ambaye ana matarajio fulani baada ya mchakato,ni mchumia tumbo mzuri tu,hivyo usimsifie bila vigezo.
Sio kweli,sio mtu makini kabisa,nimefuatilia sana hoja zake,yuko biased na upeo mdogo sana wa kuchambuamambo,pia ni opportunist fulani ambaye ana matarajio fulani baada ya mchakato,ni mchumia tumbo mzuri tu,hivyo usimsifie bila vigezo.
Sasa ni Azimio la kupitisha mabadiliko ya Kanuni za Bunge Maalum. Kabla ya hapo Mwenyekiti anasema kuwa Kamati ya Uandishi imeomba kuongezewa siku moja zaidi na hivyo kazi hiyo itafanyika siku ya Jumatano tarehe 24 Septemba 2014. Kutokana na hali hiyo, leo kamati hiyo haitawasilisha Rasimu kama ilivyopangwa. Anasema kuwa wabunge wanatarajia kupiga kura. Hivyo kuna haja kanuni zibadilishwe ili kuendana na muda uliopo. Anasema kuwa kwa sasa kuna wabunge 480 ambao wanawezamkuchukua dakika 960 endapo kila mbunge atapewa dakika mbili kupiga kura kwa ibara moja. Kwa hali hiyo itachukua muda wa masaa 16 kupitisha ibara moja. Ukizidisha jumla ya ibara zaidi ya 200 utaona kuwa kwa vyovyote vile hawataweza kukamilisha ndani ya muda uliopangwa.
Mkuu ni kweli historia ni historia, maana hata tunakumbuka leo historia mbaya ya Hitler na wengineo.
Je ni kweli kabisa Rasimu hiyo ya tatu ni ya wataz?