ccm hii kitu hawataki kukisikia kabisaKura ya siri ni lazima liwe na lisiwe lazima Kanuni itamke kura ya siri. Duniani kote kura ya siri ndiyo inayotumika hata kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji. Hata Mhe. Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Wahe. Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wasituletee vurugu zisizofaa hata kidogo. KURA YA SIRI NI LAZIMA.
kwanini usimuite mwenyekiti? naomba ufafanuzi tafadhali
Mdau mwenzangu, kama nilivyoeleza kuwa Rais hayupo hapa kwa ishu ya katiba bali kwa shughuli za kichama. Hata hivyo kwa vile hoja hii ipo mezani, ni wazi kuwa anaweza kutumia fursa hii kushiriki kutafuta muafaka. Binafsi siamini kuwa Rais JK anaweza kushinikiza msimamo wa chama hasa ikizingatiwa kuwa Rais wetu ni msikivu na anaamini maamuzi ya pamoja na anaheshimu mawazo ya walio wengi.
Mzee Pandu Kificho uvumilivu unaelekea kumshinda. Kama Uenyekiti wa Muda hautaisha Jumatatu atajiuzulu. Tatizo lake ameshakuwa "senile".Kura ya siri ni lazima liwe na lisiwe lazima Kanuni itamke kura ya siri. Duniani kote kura ya siri ndiyo inayotumika hata kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji. Hata Mhe. Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Wahe. Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wasituletee vurugu zisizofaa hata kidogo. KURA YA SIRI NI LAZIMA.
Amepoteza sifa za uenyekiti baada ya kukubali kupokea maelekezo ya uchama hatimaye kuvuruga mwelekeo wa Watanganyika kupata katiba inayotufaa hapo baadae. Kwa maoni yangu, maoni ya lukuvi, mrisho na anne ndiyo yametawala na kuharibu kabisa mchakato ulioanza kua mzuri. Nasisitiza kua haya ni maoni yangu.
ina maana Simiyu Yetu ni mmoja kati ya wale 201?
Pandu ulishaanza kujenga kajina analia usilikoroge mwisho mwisho mzee
fafanua ni raia mwenzako wa Tanganyika au zenjibar????
Nashukuru sana Mkuu. Nimekuelewa sasa
au wa serikali 2 au 3 atakuelewa
Huyo kificho ana pwaya sana ktk hyo nafasi