Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

Ahsante mkuu, LAKINI nataka majina yale ya wajumbe wa kamati ya maridhiano tu

Miongoni mwao ni hawa hapa (wengine siwajui)
1. Pinda
2. Makinda
3. Mbowe
4. Lipumba
 
Namuona Mzee Kingunge anaingia ukumbini. Pia wazee wengine kama Lowasa nao wapo kitambo
 
Mkuu, kwa bahati mbaya orodha ya kamati ya mashauriano haikuwekwa bayana. Ila wajumbe ninaowafahamu kwa haraka haraka ni Mbowe, Mbatia, Lipumba, Askofu Mstaafu Donald Mtetemela, Sheikh Jongo, Cheyo, Wasira na wengine. Wamo pia wajumbe kutoka wwle 201
Kwa hiyo kamati tutegemee uwazi tu, wapiganaji hapo ni Lipumba, mbowe, cheyo basi..mimi muislam lakini huyo sheikh jongo mjinga kabisa alitetea kura ya wazi. Ilibidi nafasi hiyo awekwe jembe letu Amir Kundecha.
 
Mkuu, katika mchakato huu wa katiba, hata kama watu mnatofautiana kiasi gani, kuaminiana ni jambo la maana sana

Sawa kuaminiana ni jambo muhimu lakini unawezaje kumwamini mtu anayekutamkia waziwazi kua atakalo ndilo litakalofanyika bila kujali hoja zako? Tuyaache hayo, tusubiri maridhiano kisha tusonge mbele kwa kadiri itakavyowezekana.
 
JK ni kigeugeu,utasikia oooh msimamo wetu kura ya siri...nachukia huu Utoto wa CCM
 
Naam, wadau, kikao cha kamati ya mashauriano kimemalizika muda huu. Nawaona baadhi ya wajumbe kama Wassira na Askofu Donald Mtetemela wanaingia Ukumbini. Ni wazi kua muafaka umefikiwa na kuda si mrefu mambo yataanza. Stay Connected
 
Sawa kuaminiana ni jambo muhimu lakini unawezaje kumwamini mtu anayekutamkia waziwazi kua atakalo ndilo litakalofanyika bila kujali hoja zako? Tuyaache hayo, tusubiri maridhiano kisha tusonge mbele kwa kadiri itakavyowezekana.
Nashukuru sana Mkuu.
 
Naam, wadau, kikao cha kamati ya mashauriano kimemalizika muda huu. Nawaona baadhi ya wajumbe kama Wassira na Askofu Donald Mtetemela wanaingia Ukumbini. Ni wazi kua muafaka umefikiwa na kuda si mrefu mambo yataanza. Stay Connected

Hapa ndio nilikua napasubiri kwa hamu sana. Asante mkuu kwa updates murua. Keep going safe.
 
Kwa hiyo kamati tutegemee uwazi tu, wapiganaji hapo ni Lipumba, mbowe, cheyo basi..mimi muislam lakini huyo sheikh jongo mjinga kabisa alitetea kura ya wazi. Ilibidi nafasi hiyo awekwe jembe letu Amir Kundecha.
Mkuu, suala la matusi si jema sana karika mjadala huu. Hata kama ni mjinga, ana nafasi yake katika mashauriano
 
Naam, wadau, kikao cha kamati ya mashauriano kimemalizika muda huu. Nawaona baadhi ya wajumbe kama Wassira na Askofu Donald Mtetemela wanaingia Ukumbini. Ni wazi kua muafaka umefikiwa na kuda si mrefu mambo yataanza. Stay Connected

asante kwa taarifa tunasubiri kwa hamu nini mwafaka wa jambo hili muhimu kwa uhuru wa wajumbe
 
kama simiyu yetu yupo humo basi huyu jk alipaswa kuchukua wajumbe wengine milembe hapo na mambo yangekwenda vizuri tu.
 
Taarifa:

Ndugu wana jf, nasikitika kuwataarifu kua hapa nilipo umeme umekatika ghafla, kwa hiyo sitaweza kutoa updates ila namuachia ndugu Chabruma aendelee na updates, kwa sasa nitabaki kua mchangiaji hadi hapo TANESCO wataporejesha umeme. Asanteni.

cc. Chabruma
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, pole sana. Ni pigo kubwa kwa timu yetu hii. Hakika hii katikakatika ya umeme inaharibu mambo mengi sana. Ona sass tunavyompoteza mdau wetu mhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…