Ahsante mkuu, LAKINI nataka majina yale ya wajumbe wa kamati ya maridhiano tu
Miongoni mwao ni hawa hapa (wengine siwajui)
1. Pinda
2. Makinda
3. Mbowe
4. Lipumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu, LAKINI nataka majina yale ya wajumbe wa kamati ya maridhiano tu
Kwa hiyo kamati tutegemee uwazi tu, wapiganaji hapo ni Lipumba, mbowe, cheyo basi..mimi muislam lakini huyo sheikh jongo mjinga kabisa alitetea kura ya wazi. Ilibidi nafasi hiyo awekwe jembe letu Amir Kundecha.Mkuu, kwa bahati mbaya orodha ya kamati ya mashauriano haikuwekwa bayana. Ila wajumbe ninaowafahamu kwa haraka haraka ni Mbowe, Mbatia, Lipumba, Askofu Mstaafu Donald Mtetemela, Sheikh Jongo, Cheyo, Wasira na wengine. Wamo pia wajumbe kutoka wwle 201
Mkuu, katika mchakato huu wa katiba, hata kama watu mnatofautiana kiasi gani, kuaminiana ni jambo la maana sana
Mdau mwenzangu, kama nilivyoeleza kuwa Rais hayupo hapa kwa ishu ya katiba bali kwa shughuli za kichama. Hata hivyo kwa vile hoja hii ipo mezani, ni wazi kuwa anaweza kutumia fursa hii kushiriki kutafuta muafaka. Binafsi siamini kuwa Rais JK anaweza kushinikiza msimamo wa chama hasa ikizingatiwa kuwa Rais wetu ni msikivu na anaamini maamuzi ya pamoja na anaheshimu mawazo ya walio wengi.
Nashukuru sana Mkuu.Sawa kuaminiana ni jambo muhimu lakini unawezaje kumwamini mtu anayekutamkia waziwazi kua atakalo ndilo litakalofanyika bila kujali hoja zako? Tuyaache hayo, tusubiri maridhiano kisha tusonge mbele kwa kadiri itakavyowezekana.
Kama mzee lowassa ameingia ukumbini angalau sasa nina imani kikao kitaanza punde!Namuona Mzee Kingunge anaingia ukumbini. Pia wazee wengine kama Lowasa nao wapo kitambo
Naam, wadau, kikao cha kamati ya mashauriano kimemalizika muda huu. Nawaona baadhi ya wajumbe kama Wassira na Askofu Donald Mtetemela wanaingia Ukumbini. Ni wazi kua muafaka umefikiwa na kuda si mrefu mambo yataanza. Stay Connected
Mkuu, suala la matusi si jema sana karika mjadala huu. Hata kama ni mjinga, ana nafasi yake katika mashaurianoKwa hiyo kamati tutegemee uwazi tu, wapiganaji hapo ni Lipumba, mbowe, cheyo basi..mimi muislam lakini huyo sheikh jongo mjinga kabisa alitetea kura ya wazi. Ilibidi nafasi hiyo awekwe jembe letu Amir Kundecha.
Naam, wadau, kikao cha kamati ya mashauriano kimemalizika muda huu. Nawaona baadhi ya wajumbe kama Wassira na Askofu Donald Mtetemela wanaingia Ukumbini. Ni wazi kua muafaka umefikiwa na kuda si mrefu mambo yataanza. Stay Connected
Nashukuru sana Mkuu.
Posho watachukua saa ngapi???siku ya 21 leo,hawana jipya wehu hao
Mkuu, pole sana. Ni pigo kubwa kwa timu yetu hii. Hakika hii katikakatika ya umeme inaharibu mambo mengi sana. Ona sass tunavyompoteza mdau wetu mhimu