Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

IMG-20200914-WA0024.jpg
 
Nyamikoma,Kamwanga,lwenge,bugurura , buseresere na katoro ni miji na vijiji vilivyopo Mkoa wa Geita,JPM atoe kauli ni lini watapatiwa maji Safi na salama, na vijiji hivyo vitapatiwa lini nishati ya umeme? Na Barabara? Mji wa katoro na buseresere vumbi inawapa watu tibii hakuna lami,na mji unakuwa kwa kasi
Wabunge wa CCM wakishafika Bungeni watalishughulikia
 
Jiwe hafai hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa, mana watatekwa watu si mchezo
 
Jiwe hafai hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa, mana watatekwa watu si mchezo
 
Ccm mmewaleta marubani na wadada wahudumu wa ndege kwenye kampeni ili iweje ovyo kabisa
 
Chato nzima wenye uwezo wa kumudu kupanda ndege awafiki hata 5 je ipi kwao tija kuwa na uwanja wa ndege utumikao maramoja kwa mwaka
 
Back
Top Bottom