Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

wana chato msifanye makosa yaje kuwagharimu kula ccm kura ukawa lowassa chaguo la watanzania wote
 
Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia

mbana nasikia aliye wafanya tembo wawe wachache yupo kwenye chama chenu?
 
Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia
Umechanganyamafaili kichwani. Hebu rudiakwa makini kuisoma post. Anayewasalimia wananchi ni Lowassana siyo Kikwete.
 
Tokea achaguliwe kua Rais, mwezi huu ndio anakunbuka kuwasalimia wananchi? Fungu la safari za nje limekwisha.... Atasalimia hadi Tembo wachache waliosalia

Wewe utakuwa ni liCCM sasa umejisahau kuwa mada inamuhusu Lowasa wewe unakuja na hoja ya Kikwete.
 
hakukuwa na sababu ya kwenda , kule kazi imeisha kitambo sana , chato ni ngome ya chadema .
 
Mwaka huu ni noma sana
 
Vznja ngome hiyo
Nadhani hadi ndugu wa magzfzli watamlaki lowssa
 
Akiona eneo zuri anaweza kupora eneo la watu mzee fisadi balaaa hafai kabisa.

hivi kuna eneo ambalo linafaa sana kwa shughuri yoyote ya kiuchumi hapa tz ambalo bado linazagaa zagaa kwa walalahoi?!! yote c mmeyamaliza.labda yale malundo ya michanga na mahandaki ya geita.
 
Wapiga Kula? Au Kura? Alipanda ndege au chopa?

Jipange ulete habari ya kueleweka
 
wana chato msifanye makosa yaje kuwagharimu kula ccm kura ukawa lowassa chaguo la watanzania wote
Inafurahisha wameanza kulia kilio cha mbwa yaani UKAWA kwao MACCM ni top of the agenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…