Yaani nchi tumkabidhi fisadi!!hapana haiwezekani
Umenikumbusha 1999 nikiwa Kachwamba kulima pamba.
Mwaka wa njaa huu na vijana kwenye mitandao mnajitahidi kutuaminsha hata pasipo amini tusubiri 25 OctMgombea Urais wa Chadewma kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, leo atakuwa Wilayani Chato mkoani Geita, mahali alipozaliwa Magufuli.
Walioko huko wanasema mji unazizima kwa ujio wa gwiji wa siasa za Tanzania na rais mtarajiwa, toka jaana vijana na Wazee mjadala ni ujio wa rais wa awamu ya tano Edward Lowassa.
Hii ni keyboard writting na sio Handwrittings Hatuwezi Kufanana Mwandiko. Mie simjui huyu Chine be....Chinembe na Ryaro mnafanna miandiko. Mlisoma shule moja?
Hahahaha, asante sanaaa mkuumelody imebuma kabla hujaimba mumepata aibu chama cha mashetani na kabila la mafisadi CCM
Kwa hali kama hii Ni bora lowasa asimamishe mikutano ya kampeni kuanzia Leo asubiri kuapishwa tu maana kila anapotia mguu anasababisha mafuriko
Tembo wa Tanzania hivi sasa hawaoti pembe,mungu kasikia kilio chao.
Mji wa Chato muda huu umesimama. Lowasa hajafika bado yupo uahirombo wilaya ya bukombe anamwaga Sera ila uwanja wa chato hapa umefurika vibaya na mitaani hakutamaniki. Vituko vinavyoshuhudiwa hapa ni pale Shule za hapa mjini walimu walitawanyika tangu saa tano wakionekana viwanjani na pia ofisi za halmashauri milango mingi ilifungwa tangu saa tano huki wafanyakaz wakionekana uwanjani. Chopa ya Lowasa bado haijafika hapa chato ila tayari uwanja umetapika maelfu ya wanachato wamepagawa. Hapa ni kwao na magufuli ila hutaamini kwa wingi huu wa watu. Akina mama ni wengi mno na vijana hawahesabiki. Kwa kweli wanachato wameamua. Lowasa ni taasisi na hakuna namna ya kumsimamiaha tena.