Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa


Angalia usiachwe na fuso baada ya mkutano
 

big up mkuu
 
Ulishasikia akizomewa wapi? Mmeishiwa cha kuongea mmebaki kurudia rudia yale yale.
 
Hali ni tete kwa chama kile cha kijani.......chenye jembe na nyundo!

mkuu ndoja ni kupe tafsiri ya alama hizo kwa sasa ihi ni NEW VESION.

NYUNDO NI - LOWASSA.
JEMBE NI - KURA
BELESHI NI - WANAMABADILIKO

sasa + alafu weka = hapa.
 
Mji umesimama?? mkuu acha uongo bwana, watanzania wanapenda maigizo wamekuja kuangalia maigizo ya Ukawa bure, kiingilio miguu yao, kura CCM

Acha undezi wewe hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kwenda kusikiliza asichokiamini mimi mwenyewe abadani huwezi kunikuta kwenye mikutano yeyote ya ccm kwa sababu siiamini ukijua kweli nayo kweli itakuweka huru.
 
hatareeee, bado rais hajafika lakini mambo ndo kama unavyoona
 

Attachments

  • 1442410240303.jpg
    47.9 KB · Views: 425
  • 1442410265695.jpg
    62.2 KB · Views: 408
Wewe Ocampo acha kupotosha watu, hivi kwa nini wewe hufikrii? unafikiri wa-tz wote wako ka wewe? endelea kujidanganya!
 
Chato muda huu..
 

Attachments

  • 1442410736257.jpg
    47.8 KB · Views: 471
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…